Dr Slaa amechoka sana na amepoteza mvuto. Mvuto uliobaki ni kwa Josephine tu
yupi kati ya hawa unapendekeza kuwa rais wa tanzania 2015-2020:-steven wassira,mizengo pinda,wilbroad slaa,edward lowassa,january makamba,bernad membe,samwel sitta,lazaro nyarandu na prof ibrahim lipumba.JF mods naomba mnilinde kwa hili ili tuje tumpate RAIS PENDEKEZWA WA JAMIIFORUM.nawasilisha
Mkuu naomba niulize kidogo.1.Hivi bado kuna watanzania wanahitaji ccm iendelee kutawala nchi hii?2.wanataka iendelee kutawala ili ifanye nini ambacho haijakifanya kwa muda wa miaka 53 ya uhuru?yupi kati ya hawa unapendekeza kuwa rais wa tanzania 2015-2020:-steven wassira,mizengo pinda,wilbroad slaa,edward lowassa,january makamba,bernad membe,samwel sitta,lazaro nyarandu na prof ibrahim lipumba.JF mods naomba mnilinde kwa hili ili tuje tumpate RAIS PENDEKEZWA WA JAMIIFORUM.nawasilisha
Kumbuka nchi yenu hata siku moja haiwezi endeshwa kwa visasi bali inaendeshwa kwa KATIBA na SERA za chama husika. Dr Mwinyi hana visasi ni mtu aliyekubalika pande zote mbili. Aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga (Tanganyika) na Sasa mbunge wa kutoka Znz.
Mimi naamini wazi kwa wapenda amani wa nchi yenu huyu Dr Mwinyi InshAllah atakuwa Rais wenu 2015. Vuteni subra muone. Vyama vya uinzani baado kabisa kuweza kutoa Rais hususan upande wa Bara. kwani wengi wa viongozi wao ni wachumia tumbo tu na waganga njaa, wanazungumza mazuuri kwa kuwa wana njaa wakishiba hakuna lolote.
Umesahau sifa moja kuu-Huyu bwana anaijua pesa (kawaulize wafanyakazi wa MUV)-ndo maana-mw---Edward Ngoyai Lowassa!
Maamuzi magumu na makini
Mkuu tunao watanzania wazuri ila hawapo ccm-hila za ccm(Chama cha Panya) kwenye uchaguzi ndizo zimetokosesha watu wa aina ya kagame for a long timeHakuna Anayefaa Hapo Na Labda Tunaweza Tu Tukabadili Baadhi Ya Vipengele ktk Mother Law Yetu Na TUKAWEKA KIPENGELE MAALUM CHA KUONGOZWA KWA MUDA NA RAIS WA NCHI JIRANI MPAKA HAPO TUTAKAPOKUWA NA AKILI SAWA SAWA NA INGEKUWA HIVYO NINGEMPENDEKEZA Role Model Wangu Rais Wa Rwanda Mwanamume Wa Shoka His Excellency PAUL KAGAME Aje ATUONGOZE Watanzania Kwa Muda Kwa Kutujengea Nchi Kisha Arudi Zake Kigali.
Kwa nini Muhongo hafai? Tunataka kiongozi jasiri, mwenye kiburi na asiyewaonea haya mafisadi. Only we have is Prof Muhongo. Wengine ni waoga. Kupambana na mtu kama Reginald Mengi inahitaji ujasiri wa ziada ambao anao Muhongo
Mtu Kama Warioba akili ishazeeka.
Umethibitisha pasipo shaka kuwa hatuna serikali-yaani kuna raia wanaogopwa na serikali.Duh shida kweli kweliKwa nini Muhongo hafai? Tunataka kiongozi jasiri, mwenye kiburi na asiyewaonea haya mafisadi. Only we have is Prof Muhongo. Wengine ni waoga. Kupambana na mtu kama Reginald Mengi inahitaji ujasiri wa ziada ambao anao Muhongo