Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

unaumwa degedege wewe si bure

Wewe yako ndo imezidi unahitaji tiba tena mbadala na uzi wako wa kikabila toa hoja badala kashifa mwehu nini wewe mtasubiri sana mumekalia ushirika tu na mauaji mumeshindwa ku control ndo kuongoza utajijeijei mwehu wewe
 
Lowasa anapigiwa chapuo la kuukwaa urais 2015, lakini lazima ujue kuwa urais wa tz unaamuliwa kwa kiasi kikubwa na kanda ya ziwa( wasukuma).

Rekodi inaonesha kuwa lowasa hajafanya lolote ktk kanda hii tangu kipindi kile akiwa waziri wa kawaida.

Wasukuma hatudanganyiki safari hii hatukupi kura ng'o, bora tumpe kura home boy William Ngeleja na siyo kibaka mwingine, ovyoooooooooo...!
 
achana na hao mabwege ambao kwa kiasi kikubwa wametekwa na akili za uchagani, sisi tunajikomboaje? Hilo ndio swali, mimi ndio msukuma wa kwanza atakayehakikisha kuwa sukumaland inapata maendeleo inayostahili ie wasukuma wanaendelea na siyo majogori wanaotuibia mali zetu

Tuwekezeni kwenye elimu maana tulipuuzwa sana ukanda wetu,na wazee walikuwa waoga kupeleka watoto shule ila kwa sasa wazazi wameamka sana na watoto wanasoma shule za maana,unacheo gani mkuu kinachoweza kukupa uwezo wa kuifanya sukumaland iwe na maendeleo yanayositahili kama akina diallo wameshindwa?
 
KWA SASA TUMAINI LETU NI CDM TU! Tumeshajitambua wasukuma na ss hatutaki hadaa za magamba! Mambo ya nduhu tabhu kwetu mwiko,bhagalu na bhagika ihaha abhabhuli bha ccm bhia
 
Huu siyo ukabila bali na hali halisi. Wanyamwezi/ wasukuma tusitarajie maendeleo ya kueleweka katika maeneo yetu pasipokuwa na wanasiasa wenye utashi wa kimaendeleo kutoka kanda yetu, magufuli ni mfano halisi na anafaa sana sana.Tusitegemee nyani mwingine kutoka sehemu nyingine aje kutuletea maendeleo, watu wa kaskazini wako busy kuzuga wanaijali tz kumbe ovyo nk, wasukuma/ wanyamwezi tuzinduke tuwe na uzalendo na tujenge nyumbani

Shida ni too much imani za kishirikina na too much upole and no personal initiative to succede. Always waiting for gov't do perform wonders.
 
tumekuelewa mke wangu, ila punguza wivu na makabila mengine basi.
 
Kama sampuli zenyewe ndio hizo za akina John Shibuda na Leticia Musobi Mageni Nyerere, heri nchi ikose raisi.
 
Na hii tabia ya kutuibia na kuficha nje na kutukejeri kwamba hivyo nivisenti kume wa-discredit.
 
Mi nataka aje mhindi au kwa jina la mtikila la ubatizo maghabachori waje watuwongozi sasa maana ngozi hii nyeusi naona kama laaana
 
acheni ujinga mangosha nyie nani kawadanganya wingi wenu ndio chachu ya maendeleo?hebu fikiri taifa la waingereza na nguvu walizo nazo, kama hamtaki kuelimika na kuacha ujinga wa kuuwa vikongwe na kuzaana kama nguruwe pori mtaishia kubwabwaja tu halafu wajanja wachache wanaendelea kupiga copy za mihela ya kifisadi

Ah, nimeipenda hii. katka watu wanaodaganywa san ni wasuum. Very simple tena ukioga tu cha kwao, hawana swali tena. wanaturudisha nyuma sana hasa wa tabora.
 
Kuna makabila mangapi bado ayajatoa raisi wala waziri mkuu?

Ndio tupo hapa atujaweza ata kuwafanya watu waone kiongozi bora ni mtanzania mwenye vision ya taifa na mbinu za kuleta maendeleo, wengine wameshaanza gesi ya mtwara, dhahabu ya geita, siasa za majimbo, tudai Tanganyika, serikari tatu, raisi anachagua waislamu wengi na mengineo mengi ya hatari na kibaguzi.

Tumshukuru sana hayati baba wa Taifa alieacha mizizi imara ya chama chake licha ya baadhi ya watu kuingiwa tamaa kwakukosekana mfumo imara wa udhibiti lakini mwisho wa siku watu hao hao wakikaa chini wanaelewa umuhimu wa umoja na kuangalia maslahi ya taifa kwa muda mrefu katika mistari ile ile ya umoja wetu ni nguvu. Ingawa kwa sasa wamekosa nahodha wa kuwaweka sawa watanzania bado tuna imani mambo yatakaa sawa siku moja, tuletewe safari ya maendeleo, tamaa tu zimetawala kwa sasa.

R.I.P mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni wachache sana wenye uwezo wa kuelewa ugumu wa kazi yako nia zako, inasikitisha kuona kuna wanafiki wanaotumia jina lako leo huku wakiwa tofauti na misimamo yako, viva Tanzania.

Haya we mleta mada embu tusaidie raisi msukuma atasaidia vipi ili ata na sisi wengine tuone umuhimu wake?
 
Hata kama hawana Elimu?


Kama kigezo ni Elimu, hao waliotajwa pekeyake wamevuka viwango! Sema jingine!
JAMANI TUACHE UTANI, WASUKUMA NI WAZALENDO NA HOFU YA UKABILA HAIWAHUSU HAWA WATU WAKARIMU! ILA ANGALIA KIDOGO TABORA, MAANA HAPO TUNAWEZALIZWA!

(NB: Japokuwa jiji la kanda ni MWANZA, lakini mjini ni TABORA! SHANGAA SASA!)
 
Back
Top Bottom