Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,755
- 218,373
Subiri press ya Mdee J2Wakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .
Natanguliza Shukrani .
Anna MakindaWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .
Natanguliza Shukrani .
Yosefa sio yostaCdm Ina hazina mpya tele. Apewe Yosta Komba
Sisi ya kwetu tumemaliza, hayo mengine hayatuhusu, yeye ajipigie tu hizo mil 600Subiri press ya Mdee j2
Yatamkuta ya Zitto.Sisi ya kwetu tumemaliza , hayo mengine hayatuhusu , yeye ajipigie tu hizo mil 600
Unateseka ukiwa wapi?Inabidi awekwe mwanaume kusimamia Bawacha maana maamuzi ya wanawake hayathaminiwi Chadema..
Bawacha ni kama Brazil kwenye soka kila mtu yuko vizuriWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .
Natanguliza Shukrani .
Wasaliti gani waliotimuliwa, hajatimuliwa mtu, ingawaje unapanga mke wako ndo ashike hiyo nafasiiii. Hao wanawake wameonewaaWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .
Natanguliza Shukrani .
Sidhan kama itabadili kitu. Sidhani hata kama CCM wanachama wake wangefanya walichofanya, nao wangevumiliwa. Taasisi yoyote ina misingi yake, kwenda kinyume lazima uondolewe. Hata CCM wapo ambao waliondolewa kwa kwenda kinyume na taratibu za CCM. Kimsingi kwa maoni yangu, kama kweli CDM haikuwapa baraka, walipaswa kweli kuondolewa.Subiri press ya Mdee j2
Yule aliegombea jimbo moja na Mwana FA ni mmoja wa covid19? Kama sio baasi anafaaa. Sijui anaitwa naniWakuu muda ni mchache sana na mambo ni lukuki , bila kupoteza muda Kamati kuu ya Chadema baada ya kutimua wasaliti , imeagiza mchakato wa kujaza nafasi zao uanze mara moja , jambo ambalo naliunga mkono .
Sasa kwa haraka haraka unadhani ni nani kati ya akina mama waliopo chadema kwa sasa anayefaa kutwaa nafasi iliyoachwa wazi na Msaliti Mdee baada ya kufurushwa ? kumbuka kwamba Chadema haijawahi kupuuza maoni ya wengi .
Natanguliza Shukrani .
Haina maana tena, ni sawa na mwanakikundi aliyefukuzwa kuendelea kulazimisha kuwa mwanakikundi huku wenzio hawamtakiSubiri press ya Mdee j2