Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
1. Lissu kupigwa risasi na Watu Kutekwa na kupotea. Hii imechafua sana Nchi yetu. Hii hali ilimchafua hadi rais kwani Uzembe wa Sirro kufanyakazi, kumefanya watu wadhani kwamba Watekaji wanalindwa. Hii kosa alitakiwa ajiuzulu. Ila amshukuru rais alimvumilia.
=== Cha kujitoa Ufahamu katika Suala la Lissu Kupigwa Riasi
2. Kuna Sakata la sare za Polisi. Rais Magufuli aliibua Sakata la sare za Polisi ambazo ulifanyika ufisadi wa karibia Bil 60, akamuagiza afanyie kazi, lakini hafanyi chochote. Alitakiwa ajiuzulu.
=== Hapa sina Neno, ila hata Kama alifanyiwa kazi ulitaka aje ku report kwako ?
3. Sakata la Lugumi. Kuna ufisadi wakaribia Bilioni 34 za kifunga mitambo ya alama za Vidole ambalo liliibuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).
==== Hili liko tokea enzi na enzi
4. Majeshi yote ya Tanzania yana miradi ya maendeleo ili kupunguza utegemezi kwa Serikali. Lakini kwa Miaka mitano ameshindwa kubuni miradi hata ya kuwasaidia Askari.
=== Principal Duty ya Police ni Kulinda Raia na Mali zao,Muda wa ku Focus kwenye Miradi wautoe wapi ? Hizo resources watatoa wapi ?
NB
Nakubaliana na wewe, Siro ana hofu ya Mungu