Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020 kwenye kinyang'anyiro cha Urais?


Kinyesi

Kinyesi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Messages
227
Likes
110
Points
60
Kinyesi

Kinyesi

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2014
227 110 60
Prof. Jay au Sugu wanatosha sana mana hawa ni makamanda wa ukweli waliobakia ambao hawana price tags shingoni mwao!
 
D

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
2,924
Likes
2,064
Points
280
D

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
2,924 2,064 280
Freeman Mbowe hataki kugombea Urais kwa kuwa atapoteza Mgodi wake wa Kiongozi wa Upinzani Bungen
Freeman Mbowe hana sifa ya kuwa mgombea wa kiti cha urais kwani katiba ya nchi inataka mgombea wa urais awe mhitimu wa angalao degree ya kwanza (Bachelor degree) kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na tume ya ithibati ya taifa. Kwa nafasi ya ubunge hapo ana qualify kwani katiba inataka mgombea ubunge awe tu na elimu ya KK (kusoma na kuandika). Kwa kiti cha udiwani ni raia ye yote yule hata kama hana KK.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
44,632
Likes
29,953
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
44,632 29,953 280
Jwrey muro atahamia chadema. Alipo tutakuwepo alipo tupo
 
Rita Warobi

Rita Warobi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
337
Likes
558
Points
180
Rita Warobi

Rita Warobi

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
337 558 180
Sina mpango wa kugombea kupitia chama kisicho na dira wala mwelekeo
But you still waste your precious time discussing the so called chama kilichokosa dira na muelekeo.. how funny, right?!
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
14,437
Likes
7,000
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
14,437 7,000 280
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.

Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?

Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
Maza wako atapendeza zaidi kupeperusha bendera hiyo
 
K

Kihava

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Messages
2,216
Likes
1,696
Points
280
K

Kihava

JF-Expert Member
Joined May 23, 2016
2,216 1,696 280
YEHODAYA na Lizaboni: Kwani CHADEMA itakuwepo? Mbona mmesema mnataka kufikia 2020 kusiwe na chama cha upinzani?
 
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
2,666
Likes
3,653
Points
280
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
2,666 3,653 280
Bashite
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
35,741
Likes
45,037
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
35,741 45,037 280
mwenyekiti wa CCM taifa a.k.a afisa ugavi amenipigia simu nimemrekodi.
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
27,600
Likes
70,946
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
27,600 70,946 280
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.

Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?

Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
Ebu achieni mikutano ya kisiasa hata kwa siku moja uone utakavyopata jibu lako, sasa hivi bado unafikiria kwa Chura a.k.a makalio ndio maana unauliza swali la hovyo kiasi hichi.

Vipi hali ya manunuzi inaendeleaje?
 
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2006
Messages
6,585
Likes
854
Points
280
G

Gagnija

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2006
6,585 854 280
...katiba ya nchi inataka mgombea wa urais awe mhitimu wa angalao degree ya kwanza (Bachelor degree) kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na tume ya ithibati ya taifa...
Katiba kifungu gani mkuu!
 
Robert Bright

Robert Bright

Member
Joined
Nov 12, 2017
Messages
49
Likes
9
Points
15
Robert Bright

Robert Bright

Member
Joined Nov 12, 2017
49 9 15
Upinzani 2020 hawataleta mgombea kwa sababu hawawezi shinda
 
B

bilu97

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
584
Likes
389
Points
80
Age
28
B

bilu97

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
584 389 80
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.

Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?

Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
Uchaguzi wa nini....
 
B

bilu97

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
584
Likes
389
Points
80
Age
28
B

bilu97

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
584 389 80
Uchaguzi upi ??
 
pepsin

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
3,100
Likes
3,444
Points
280
pepsin

pepsin

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
3,100 3,444 280
Mnamtaka m-tundu Lissu pyuupyuu au Kadi flukoni Pesa mkononi au mnataka mmwekee "connection joint"? Jitahidi ila naomba msimbaini maana mna nia ovu
 
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
4,890
Likes
5,170
Points
280
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
4,890 5,170 280
Huduma za Afya kwenye hospitali zetu nyingi ni mbovu na watu wengi hupoteza maisha kutokana na huduma mbovu.
Upatikanaji wa ajira Tanzania umekua mdogo kifupi soko la ajira ni gumu..
Elimu ya Tanzania ni mbovu na haikidhi viwango vya kimataifa, hata hiyo mbovu bado wanayoipata ni wachache.
Miundombinu mibovu, bado maeneo mengi hayafikiki ikirahisi.
Idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni ndogo.
Idadi ya wanafunzi wanaopata mikopo ya elimu ya juu ni ndogo kulingana na mahitaji..
Bado watanzania walio wengi ni masikini kiasi cha kushindwa kupata elimu bora, lishe bora, malazi bora nk.
Idadi kubwa ya Watanzania bado wanaishi kwenye nyumba duni.
Idadi kubwa ya watanzania bado wanatumia vyoo hatari kwa afya zao.
Bado vifo vya wamama wajawazito na watoto ni vingi kuliko maelezo.
Umeme bado ni tatizo kubwa Tanzania na hautoshelezi mahitaji na miundombinu yake ni mibovu.
Bado Tanzania inahesabika kama moja ya nchi masikini kabisa duniani.
Bado asilimia kubwa ya watanzania wanatumia maji yasiyo safi na salama na wengine wanashare maji na ng'ombe.
Bado Tatizo la soko kwa wakulima linasumbua Tanzania tokea uhuru.
Bado wanafunzi wanatembea kilomita nyingi kufika shule..
Bado mimba za utotoni ni shida na jamii nyingi bado ni Primitive.
Bado jamii kubwa ya kitanzania ni Primitive na haijaelimika na haijui dunia inaendaji.
Bado Mpaka leo hii Serikali ianshindwa kuongeza ufanisi wa bandari na njia nyingine za kiuchumi.
Bado wimbi la magonjwa kutokana na mazingira duni na hovyo, kipindupindu,uti wa mgongo linasumbua tanzania.
Malaria bado ni tatizo kubwa linaloua watu wengi kila siku Tanzania na tumekosa ufumbuzi.
Bado mahakama zetu zimejaa watu wenye kesi mbalimbali ambazo hukuma zinachelewa na msongamano mkubwa.
Bado sheria inatatiza na watu wengi wanakosa msaada wa kisheria.

MATATIZO NI MENGI KIASI CHA KUTOTOSHA HAPA JF, SASA NI VYEMA KWA WINGI WETU TUKAISHINIKIZA SERIKALI IKATATUA KWANZA MATATIZO LUKUKI YANAYOTUSUMBUA KULIKO KUTUMIA MUDA WETU MWINGI KUPAMBANA NA CHADEMA AMBAO WAMEJIKITA KUIKOSOA SERIKALI ILI ITATUE MATATIZO YA WANANCHI AMBAYO YAPO MEEENGI KAMA NILIVYOORODHESHA HAPO JUU...

MATATIZO YAKIISHA NA WATANZANIA WAKAISHI MAISHA BORA KABISA NA KILA KITU KIKAWA KINAKWENDA VIZURI AUTOMATICALLY CHADEMA HAITAKUWEPO..

AMELAANIWA ANAYEPOTEZA MUDA WAKE KUITETEA SERIKALI WAKATI MATATIZO TANZANIA NI MENGI NA CHANZO CHAKE NI SERIKALI KUSHINDWA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE..
 
B

Bazilio

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
632
Likes
334
Points
80
B

Bazilio

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
632 334 80
Sumaye maana alishakuwa waziri mkuu kwa miaka 10
 

Forum statistics

Threads 1,214,040
Members 462,499
Posts 28,499,400