Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020 kwenye kinyang'anyiro cha Urais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020 kwenye kinyang'anyiro cha Urais?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lizaboni, Dec 5, 2017.

 1. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2017
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,796
  Likes Received: 13,809
  Trophy Points: 280
  Wadau, amani iwe kwenu.

  Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.

  Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?

  Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
   
 2. gnassingbe

  gnassingbe JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2017
  Joined: Jun 14, 2015
  Messages: 3,970
  Likes Received: 1,984
  Trophy Points: 280
  Wewe hapo!
   
 3. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2017
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,796
  Likes Received: 13,809
  Trophy Points: 280
  Sina mpango wa kugombea kupitia chama kisicho na dira wala mwelekeo
   
 4. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 16,503
  Likes Received: 25,634
  Trophy Points: 280
  Freeman Mbowe hataki kugombea Urais kwa kuwa atapoteza Mgodi wake wa Kiongozi wa Upinzani Bungen
   
 5. gnassingbe

  gnassingbe JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2017
  Joined: Jun 14, 2015
  Messages: 3,970
  Likes Received: 1,984
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo utagombea kupitia CCM!
   
 6. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2017
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,486
  Likes Received: 9,265
  Trophy Points: 280
  Hatushiriki uchaguzi hewa wowote tena. Mnachezea hela zetu tu
   
 7. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2017
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 20,665
  Likes Received: 44,113
  Trophy Points: 280
  Tutampa bashite mkolomije awe mgombea wetu wa chadema
   
 8. Numbisa

  Numbisa JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2017
  Joined: Dec 12, 2016
  Messages: 93,732
  Likes Received: 411,060
  Trophy Points: 280
  Lema
   
 9. ostrichegg

  ostrichegg JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2017
  Joined: Jun 30, 2013
  Messages: 5,258
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Au Polepole
   
 10. ostrichegg

  ostrichegg JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2017
  Joined: Jun 30, 2013
  Messages: 5,258
  Likes Received: 1,383
  Trophy Points: 280
  Mnatafuta wa kumnunua jaribuni CUF Lipu
   
 11. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2017
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,796
  Likes Received: 13,809
  Trophy Points: 280
  Kingine ni kwamba Mbowe hana elimu ya kiwango chaa shahada
   
 12. Lizaboni

  Lizaboni JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2017
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 33,796
  Likes Received: 13,809
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahaaaaaa. Hata Singida na Songea na Kinondoni hamtashiriki?
   
 13. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2017
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 20,665
  Likes Received: 44,113
  Trophy Points: 280
  Hapana polepole amezeeka sana tunataka kijana
   
 14. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2017
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 10,655
  Likes Received: 8,622
  Trophy Points: 280
  Kingunge Ngombale Mwiru!
   
 15. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2017
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 11,734
  Likes Received: 11,105
  Trophy Points: 280
  MTU yeyote atakayekuwa na pesa za kutosha kununua Chadema kutoka kwa wakiouziwa walioko sasa atapewa nafasi ya kugombea.Kama hatakuweko mnunuzi Chadema hakitasimamisha mgombea uraisi watajidai wao watagombea ubunge na udiwani tu kumbe Chadema kimekosa mnunuzi Nyalandu kama anazo anunue wampe ugombea uraisi
   
 16. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2017
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 3,550
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  itakuwepo bado, labda cdm ccm
   
 17. Kadhi Mkuu 1

  Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2017
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 6,108
  Likes Received: 4,500
  Trophy Points: 280
  Lema kasema kuna kavulana huko, kapeni hilo dili.
   
 18. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2017
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 3,550
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  2020 no cdm mazee
   
 19. kauga JR

  kauga JR JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2017
  Joined: Mar 4, 2015
  Messages: 3,101
  Likes Received: 1,715
  Trophy Points: 280
  NYARANDU
   
 20. mnengene

  mnengene JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2017
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,022
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Tundu Lisu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...