Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Freeman Mbowe hana sifa ya kuwa mgombea wa kiti cha urais kwani katiba ya nchi inataka mgombea wa urais awe mhitimu wa angalao degree ya kwanza (Bachelor degree) kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na tume ya ithibati ya taifa. Kwa nafasi ya ubunge hapo ana qualify kwani katiba inataka mgombea ubunge awe tu na elimu ya KK (kusoma na kuandika). Kwa kiti cha udiwani ni raia ye yote yule hata kama hana KK.Freeman Mbowe hataki kugombea Urais kwa kuwa atapoteza Mgodi wake wa Kiongozi wa Upinzani Bungen
Nani huyo?NYARANDU
But you still waste your precious time discussing the so called chama kilichokosa dira na muelekeo.. how funny, right?!Sina mpango wa kugombea kupitia chama kisicho na dira wala mwelekeo
Wadau, amani iwe kwenu.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.
Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?
Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
mbowe kwahiyo alidanganya umma mwaka 2005?Kingine ni kwamba Mbowe hana elimu ya kiwango chaa shahada
Ebu achieni mikutano ya kisiasa hata kwa siku moja uone utakavyopata jibu lako, sasa hivi bado unafikiria kwa Chura a.k.a makalio ndio maana unauliza swali la hovyo kiasi hichi.Wadau, amani iwe kwenu.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza kwa kweli nimebaini CHADEMA wana hali mbaya sana kisiasa. Wamepoteza dira na hawana mwelekeo. Sioni wa kukinusuru hiki chama angalau kisimamishe tu mtu wa kuweza kukimbizana na Rais Magufuli 2020.
Mtaji wao wa mwaka 2015, Edward Lowasa hajapanga kugombea tena 2020 bali anajipanga kugombea 2025 bila shaka kwa tiketi ya CCM kama atakubaliwa kurejea chamani. Sasa najiuliza, nani mbadala wa Lowasa 2020?
Nimejiuliza peke yangu nimekosa jibu. Nisaidieni wadau kunipa jibu la swali langu hili
Utashiriki wewe na BashiteHahahahahahahahaaaaaa. Hata Singida na Songea na Kinondoni hamtashiriki?
Katiba kifungu gani mkuu!...katiba ya nchi inataka mgombea wa urais awe mhitimu wa angalao degree ya kwanza (Bachelor degree) kutoka chuo kikuu kinachotambuliwa na tume ya ithibati ya taifa...
Uchaguzi wa nini....Wadau, amani iwe kwenu.