Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,070
- Thread starter
- #21
Haya bhana, nasikia na wewe pia uliumbwa kwa motona hayo majini ya kariakoo...........
Haya bhana, nasikia na wewe pia uliumbwa kwa motona hayo majini ya kariakoo...........
Bishanga shemeji yako Paloma anakula udongo tu saa hizi.. Chezea sosoliso wewe.. Nafikiria mwanetu wa kwanza tumuite jina gani vile..
Bishanga shemeji yako Paloma anakula udongo tu saa hizi.. Chezea sosoliso wewe.. Nafikiria mwanetu wa kwanza tumuite jina gani vile..
By the way hivi mai waifu wako The secretary yupo..?
Haya bhana, nasikia na wewe pia uliumbwa kwa moto
Kunani hapa
sosoliso punguza majunguUpo mama nanihino wewe..? Ninamuona Bishanga peke yake kazi kuzurura na kutafuta vimwana.. Ukimuuliza anadai ati oh mai waifu wangu The secretary analea bado..
The secretary hata umbebe umpeleke akamfumanie Bishanga hatajali au kumuacha.. Kwa hiyo ninachosema mie Bujibuji hakina impact yeyote kwa ndoa yao hawa.. Hii katerero ni balaa lol..sosoliso punguza majungu
The secretary hata umbebe umpeleke akamfumanie Bishanga hatajali au kumuacha.. Kwa hiyo ninachosema mie Bujibuji hakina impact yeyote kwa ndoa yao hawa.. Hii katerero ni balaa lol..
The secretary hata umbebe umpeleke akamfumanie Bishanga hatajali au kumuacha.. Kwa hiyo ninachosema mie Bujibuji hakina impact yeyote kwa ndoa yao hawa.. Hii katerero ni balaa lol..
Erickb52 hawezi kushindwa shughuli ndogo kama hii, yeye huwa anakaaa kimya akiungoja upepo mbaya upite. Then anaibuka bingwa kiulainiiii
Waswahii wanasema ndoa ndoano, lakini Erickb52 ni mtengeneza ndoano, je ataiogopaje ndoano iwapi kaitengeneza mwenyewe? Naomba jibu lako The secretaryHana lolote hii ndoa anaigwaya