Nani anaamulia huu ugomvi?

No 2. Aliingia katikati yao. Alipoona yamemshinda kaamua kuingia uvunguni.
Hapana chezea ugomvi.
 
Sasa huyo mwingine kati kati ya miguu anapigana au??
 
No 3,ila mwamuzi ana jaziba anaweza wavuruga wote.
 
Khaaa Mshana kwa nini macho yako yanaona tusiyoona wenzio? Umeulizwa nani anaamulia ugomvi??
[emoji134] [emoji23] mimi niliamua kuangalia chanzo na asili ya ugomvi
 
Hii picha imenikumbusha magazeti ya zamani kwenye chemsha bongo,utasikia "onyesha mpira"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…