Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Kama vipi tumuitie sirro huyu
Ni kumwitia shetani atunze kumbukumbu halafu naye apate atakayemla pesa amwache wakati amepigika wakati ambapo hatakuwa na uwezo wa kuhonga hata elfu 10 ili alie vizuri
 
Dada Thubutu!! She is 34, nan naingiwa woga. Natamani ajue ya kwamba simtaki, nampa hivyo vibomu kama njia ya kutaka kuachana.

Nifanyeje ili ajue nakula hela take tu?
Atakupa vyote utakavyo siku ukimtamkia kuwa humuhitaji atakugeuza kuwa TIGO ili uwe unapakwa mafuta
 
We huelewekagi siku nyingine unakula mara siku nyingine unaliwa hueleweki ni jinsia gani, we unajinsia mbili nini?
Hiyo ID yake inatumiwa na mtu zaidi ya mmoja leo kaandika kiume ina maana aliyezamu leo ni mwanaume subiri siku akiwa mwanamke utajua tu
 
Mtoa mada watu wanashindwa kukushauri kwa kuwa hatuna hakika na jinsia yako........

Anyway

Katika muktadha wa kiungwana unachokifanya ni kama unajitengenezea bomu ambapo likilipuka wewe ndio utakuwa mhanga wa kwanza......

Huyo Dada unamjengea matarajio makubwa ambayo ni hewa.....atakapokuja kugundua kuwa alichokipigania sicho atakachokipata.....ataingiwa na roho ya kisasi na hapo ndipo utakapovuna hichi unachokipanda sasa........

WORD IS ENOUGH FOR THE WISE
 
Umemaliza Mkuu bahati mbaya sana huwa hajibu kuhusu jinsia yake siku nyingine ni ME na siku nyingine ni KE. Naona leo kaotesha dushe.
Mkuu sexless hana jinsia hiyo ID inatumiwa na mtu zaidi ya mmoja
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom