Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Nani "amuume sikio" huyu mdada? Nitamfilisi

Inawezekana Mkuu lakini sidhani jamaa wawe na muandiko unaofanana kiasi hiki. Kule kwenye siasa hushusha nondo zilizoshiba ila huku ndiyo anakera.

Mkuu sexless hana jinsia hiyo ID inatumiwa na mtu zaidi ya mmoja
 
Sasa ww hujipendi kula hela yake afu siku moja ujichanganye kwamba humpendi maumivu ya hela akichanganya na mapenzi anakuuwa
 
"Usifanye lolote subiri malipo yako duniani" [emoji23] [emoji1] [emoji119]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom