nani amuombe msamaha mwenzie?

nani amuombe msamaha mwenzie?

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,024
Reaction score
16,129
kijana anashitakiwa mahakamani na baba yake mzazi kwa kosa la kufanya mapenzi na bibie yake (mama wa baba yake), mambo yanakuwa hivi mahakamani!!

mahakama:kijana ni kweli ulifanya mapenzi na bibi yako? (mama wa baba yako)

kijana: ndiyo

mahakama: kwanini ulifanya hivyo,una cha kujitetea?

kijana: ndiyo,ninalo la kujitetea!mi namshangaa sana baba, kweli mkuki kwa nguluwe kwa binadamu mchungu! yeye baba kila siku analala na mama yangu,mi kulala na mama yake siku moja tu imekuwa tabu,hata sijui nimueleweje!!

mahakama: mmmh!naomba mkayamalize nyumbani!!


wadau nani wa kumuomba msamaha mwenzie!!!
 
Back
Top Bottom