Yebhagaeeeeee! Ubhumegere.
Mtamu balaa
lugha gani hii mkuu umenifurahisha sana.Aliye wahi kula aniambie naweza kupata wapi View attachment 737532
Kigoma uyoga wake unakua na sumu mara nyingiNjoo Kigoma utavuna utakavyo
mie shidaa yangu nipate binti wa kuoa huko kwenuWanyamwezi tuna mboga yetu inaitwa nsansa na nyingine nswalu hizi nyingine huwa zinachanganywa na uyoga aiseeh zikipikwa huwa ni tamuu hasa ikiungwa na karanga weeh ugali wa dona uliochanganywa na Muhogo iiggh acha tuu tuambiwe tunabeba mizigo mizigo maana tunakula vinono.
Mwaah wanyamwezi wenzangu aka wakadama.