Nani aliyepanda ndege from Mwanza to Dar kwa 800,000?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Jamani mimi kichwa kinanizunguka hapa baada ya kusoma hii habar. Mi nimesha panda fast jet from dar to mwanza kwa elfu tisini. Yani narudia kwa ulfu tisini. (90,000). Huyu from mwanza to dar kwa lakinane ni nani uyo? Ni shirika gani la ndege lilikuwa limefika uko?

12b2c6b7bc2cc88810d2824e4f73d498.jpg

cc6d32d6335232c341ed5e290d67b2fc.jpg
 
"...lakini watu wengine utakuta wanazungumzazungumza wee maneno ya hovyo..." Jamani msiwe mnazungumzazungumza wee maneno ya hovyo kwa kutumiwa.
 
Jamani mimi kichwa kinanizunguka hapa baada ya kusoma hii habar. Mi nimesha panda fast jet from dar to mwanza kwa elfu tisini. Yani narudia kwa ulfu tisini. (90,000). Huyu from mwanza to dar kwa lakinane ni nani uyo? Ni shirika gani la ndege lilikuwa limefika uko?

12b2c6b7bc2cc88810d2824e4f73d498.jpg

cc6d32d6335232c341ed5e290d67b2fc.jpg
So what!!!
 
Kwa mara ya kwanza napanda precision air 2009 ilikua 224000 one way dar mwanza. Baada ya hapo Nauli ilianza kupungua baada ya kuja 5 0 4 kama mnakumbuka mpaka ikaitwa dala dalla.
 
Ul
Kwa mara ya kwanza napanda precision air 2009 ilikua 224000 one way dar mwanza. Baada ya hapo Nauli ilianza kupungua baada ya kuja 5 0 4 kama mnakumbuka mpaka ikaitwa dala dalla.[/QUOTE
ulipata bei chee
540 sio 504
 
Back
Top Bottom