Sipingi Mungu ambaye hayupo.
Sijahoji juu ya wewe kutumia neno maamuziHakuna mahali nimezungumza maamuzi. Lakini hatahivyo, kabla ya mtu kufanya maamuzi hupitia uthibitisho.
Siyo kweli. Kwanza nilikwambia hakuna atakae taka ushahidi wa ndoto kama unaota au hauoti, sababu ndoto ni jambo halisi. Ni sawa na kutaka ushahidi wa Jua liko juu yako au chini yako ? Hili kila mtu mwenye macho analidiriki, na ni sawa na Ndoto.Hujanielewa. Sala hapa nilikuwa nataka kukuthibitishia kuwa swala la kuota huwa linafanyika kwenye ulimwengu wa roho, kiasi kwamba huwezi uka-prove kwa mtu mwingine kwamba huwa unaota, kwa kutumia empirical tools, kwa sababu they (emperical) do not work in the spritual world, so are spritual tools in the empirical realm
Kwanini mkuu.?Hizi mada zina utata sn ....
Kuhusu MunguKwanini mkuu.?
Uhakika ni nini?Anayethibitisha ni yule ambaye hana uhakika. Mungu anapothibitisha anakuwa hana uhakika?
Mkuu umelewa asubuhi?Kabla ya kubishana nani alimuumba Mungu ungeanza kwa kusema Mungu yupi...kama ni Allah tunamjua aliumbwa na Muhammad nk. N.k
Labda ungeanza kwa kutuonesha kwa thibati kabisa huyo mungu unayemzungumzia
Hivyo neno "uthibitisho" kujirudia ndio limekufanya usielewe?Sasa sifahamu ni wapi unakwama katika kunielewa mpaka urudie kutumia neno uthibitisho wakati ulishaliorodhesha kwenye vile vigezo mwanzo vya mtu mwenye Akili anatakiwa awe vipi.!
Hii nayo ni aina ya ugonjwa..!Hivyo neno "uthibitisho" kujirudia ndio limekufanya usielewe?
Suala la uwepo wa Mungu ni imani yani ndio ipo hivyo yeyote mwenye kusema kuna Mungu basi anaamini na si vinginevyo.Kutoka kwa yeyote yule, hususan asiyeamini ila anayejua.
Anayeamini kuthibitisha, kimantiki, hawezi, ndiyo maana anaamini.Kuamini ni kukubali kitu bila uthibitisho.
Ukiweza kuthibitisha, umeondoka kwenye kuamini, uthibitisho wako unasema kwamba wewe unajua.
Ila hata anayeamini anaruhusiwa kujaribu kuthibitisha.
Na asipoweza kuthibitisha, habari ya kuwepo kwa Mungu inakuwa imani tu kama imani nyingine ambazo hazina uthibitisho.
Kwenye jibu la kwanza kuhusu akili ni nini, niliandika neno "kuthibisha." Na neno unalosema nimelirudia ni " uthibitisho".Hii nayo ni aina ya ugonjwa..!
Unajiuliza kisha unajipa jibu halafu unadhani aliyeuliza ni mwengine na kisha umemuelewesha.!
Hebu niambie ni kwa kiasi gani unahisi kwa maneno yako ya kujirudia unanielekeza kitu..?
Kuamini ni nini na kujua ni nini?Suala la uwepo wa Mungu ni imani yani ndio ipo hivyo yeyote mwenye kusema kuna Mungu basi anaamini na si vinginevyo.
Na kuamini si kinyume cha kutokujua maana hata unapotaka kuamini jambo sharti ulijue kwanza hilo jambo, tofauti na hivyo utakuwa unaamin usichokijua. Na kujua hakuna mahusiano ya moja kwa moja na uthibitisho kama ambavyo wewe unavyoeleza.
Sayansi, ambayo kwangu ni kitu cha kushikilia sana, kama ambavyo umeandika hapo juu, kwamba dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka 4.5 bilioni na mtu anakadiriwa ameanza kuwepo duniani miaka milioni mbili (2) hivi.Planet was created 4,5 billions years ago ,Egyptians start believing in Ra 4,500 years ago and God was the last one 2000 years ago
History of Earth - Wikipedia
thats the best link ever ya jibu la swali lako........binadamu tuna kitu kinaitwa fear before ilikumcontol binadamu lazima akantroliwe ndio maana zikawekwa amri za Mungu,dini, etc...... now ndio maana kuna (sheria) mfano mzuri ngómbe anaaamini fimbo kwa mchungaji kuwa ndo vina mcontrol ili akae sawa
Umeandika kwamba sayansi kwako ni kitu cha kushikilia sana.Sayansi, ambayo kwangu ni kitu cha kushikilia sana, kama ambavyo umeandika hapo juu, kwamba dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka 4.5 bilioni na mtu anakadiriwa ameanza kuwepo duniani miaka milioni mbili (2) hivi.
Maelezo haya au uelewa huu wa sayansi sio kweli kwamba unapinga biblia kuhusu uumbaji (Mwanzo), bali yanafafanua vizuri suala la uumbaji.
Hivyo hoja ya sayansi na hoja ya biblia hazipigani hata kidogo.
Sasa basi, dini yaani Kanisa ambalo ndio mamlaka ya dini siyo utaratibu au sheria au mambo ya watu fulani; ila ni suala la akili au roho.
Hivyo dini, iwe ya kweli au isiyo ya kweli inamhusu kila mtu na popote.
Umakini unapaswa daima kuwa katika kutambua dini isiyo ya kweli. Kwani, bila ya dini ya kweli mtu atasumbuka na matatizo.
Hata Njiki na njeke zina utofauti japo zinafanana, kuliko neno uthibitisho na kuthibitishaKwenye jibu la kwanza kuhusu akili ni nini, niliandika neno "kuthibisha." Na neno unalosema nimelirudia ni " uthibitisho".
Sasa tazama hayo maneno mawili (kuthibitisha na uthibitisho), kisha sema yanaonesha nini.
Ndio. Neno "kuthibitisha" na "uthibisho" mzizi wake ni mmoja.utofauti japo zinafanana, kuliko neno uthibitisho na kuthibitisha
Sifahamu kipimo chako cha utofautishaji wa vitu ni wa kiwango gani au ni madesa gani unajaribu kucheza.! Maana tukiendelea hivi unaweza ukaniambia Malapa si Ndala.!
Hata ukisema ulichambue kisarufi hilo neno 'uthibitisho' bado mzizi ni mmoja na neno 'kuthibitisha' ni viambishi tu vinaweza kukupa viashiria kwamba moja ni mchakato na nyengine ni ukamili wa huo mchakato
Ni sawa na kusema kutembea na kukimbia, vyote ni vitendo vya kujongea ila kimoja ni kwa taratibu na kingine ni kwa haraka_hakuna tofauti
Chunguza vizuri mifano yako hapo utaona si rafiki kadiri ya maneno "kutibitisha" na "uthibitisho."Ni sawa na kusema kutembea na kukimbia, vyote ni vitendo vya kujongea ila kimoja ni kwa taratibu na kingine ni kwa haraka_hakuna tofauti
Unajua usinitoe kwenye reli
Mimi najaribu kulielewa lile neno Akili na jinsi linavyotofautishwa na neno fikra mpaka likapewa upekee wa kwamba ndipo kwenye hekima ya huyo anayeitwa Mungu.!
Nilidhani unaweza kuwa msaada Ila naona unaanza kuwa msumbufu
Sawa.Umeandika kwamba sayansi kwako ni kitu cha kushikilia sana.
Vizuri.
Sayansi inakwenda na, na inaheshimu sana, uthibitisho. Uthibitisho usiopingika kimantiki.
Unaweza kutoa uthibitisho usiopingika kimantiki kwamba huyo Mungu unayesema yupo, yupo kweli, na si habari za hadithi tu?
Uko sahihi mkuu Jurjani!Hili ndiyo tatizo lao, hawawezi kufikiri nje ya mawazo ya Wakubwa zao, ambao no wajinga mno.
Pili, huyu yuko nyuma sana, leo hii bado anajifaragua na Logic/Ilm al Kalaam/Ilm Mantiq (Mantiki) ,elimu ambayo ni dhaifu na kwa yenyewe haiwezi kukupa ukweli.