Hakuna sehemu niliyo andika "Dhamira". Ongeza umakini.Sijakuelewa unapoandika "dhamira ya swali "nini" haikai katika Jina au Sifa ya chenye Elimu.
Sijakusudia "Dhamira" kwa maana ya lengo, nimeandika "Dhamiri".Swali lina dhamira au anayeuliza swali ndiye ana dhamira?
Naona unajitia ujuaji kwenye hakuna, hapo nimeandika "Dhamiri" na si "Dhamira". Ninayajia maneno haya kindakindaki, na nilichokiandika nina maanisha.Rekebisha kunitaka nirekebishe swali!
Unakubali au unaamini vipi haya yaliyoandikwa humu ni ya kweli ?Waamuzi sura ya 13
Thibitisha hili.Mungu anatengenezwa kifra sio kitu halisi ndo mana hakipo wala akionekani na wala hakisemi mungu anatengenezwa kwenye Ubongo
Sioni mantiki ya swali hili.
Kwa sababu jibu lolote nitakalolitoa, niwe nimepatia au nimekosea, niwe naweza kujibu swali au siwezi kujibu swali, halithibitishi uwepo wa Mungu.
Na kama halithibitishi uwepo wa Mungu, sioni mantiki ya swali hili.
Swali hili halina tofauti na mimi kukuuliza wewe, thibitisha 1 + 1 =2, halafu wewe uniulize, kabla ya yote, nieleze mimi ni nini.
Logical non sequitur.
Mimi nikiweza kueleza mimi ni nini, nikatoa jibu zuri kabisa, hilo litathibitishaje Mungu yupo?
Au, mimi nikishindwa kueleza mimi ni nini, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Hawezi kukujibu sana sana atakimbilia kwenye idea za watu wengine - zile logical fallacyKabla ya yote ueleze wewe ni nini
Hili ndiyo tatizo lao, hawawezi kufikiri nje ya mawazo ya Wakubwa zao, ambao no wajinga mno.Hawezi kukujibu sana sana atakimbilia kwenye idea za watu wengine - zile logical fallacy
Swali hili ni zuri sana.Lakini, kwanini upoteze muda wako kuchangia mawazo kuhusu 'kitu' ambacho wewe unaamini kuwa hakipo?
Mbona nishamjibu hapo juu, umesoma jibu langu?Hawezi kukujibu sana sana atakimbilia kwenye idea za watu wengine - zile logical fallacy
Unataka emperical proof kwenye mambo ambayo ni spritual? Ulishawahi kuota ndoto? Kama ulishawahi kuota, mtu akija kwako leo halafu akakuambia kuwa unadanganya hujawahi kuota ndoto, wakati ukweli ni kuwa ulishawahi kuota na mpaka leo huwa unaota; katika hali kama hiyo how are you going to prove to the person kwamba ni kweli huwa unaota? So you want emperical scientific proof kwenye spritual science, si ndiyo? Umesoma? Uliwahi kusoma somo linaitwa reserach methodology? Huwa wanafanyaje watafiti, kulingana na mawaidha ya somo hili?Unakubali au unaamini vipi haya yaliyoandikwa humu ni ya kweli ?
Swali : Ni nani aliyeandika hizi habari ? Nipo katika msingi wa habari, ili tujue ni za kwelo au la, kisha tujadili matini sasa.
Hakuna mahali nimezungumza maamuzi. Lakini hatahivyo, kabla ya mtu kufanya maamuzi hupitia uthibitisho.Kwaiyo hayo maamuzi aliyoyachukua huyo msichana ndio Akili yenyewe.?
Nafikiri nimekujibu kuhusu Mungu ni nini. Ni wajibu wako kuchunguza jibu hilo, ili kujibu swali hili ulilouliza hapa.Kwa hiyo Mungu naye anafikiri, anathibitisha, anachunguza, anakataa
Hujajibu swali hili.Nafikiri nimekujibu kuhusu Mungu ni nini. Ni wajibu wako kuchunguza jibu hilo, ili kujibu swali hili ulilouliza hapa.
Unauliza swali ambalo halilo. Jibu swali nililo kuuliza.Unataka emperical proof kwenye mambo ambayo ni spritual?
Ndiyo nimeota sana na nina endelea kuota.Ulishawahi kuota ndoto?
Huu mfano wako ni mfano mfu, sababu suala la ndoto ni suala la kimaumbile na si la hiyari la mtu kuamua au kinyume chake. Bali suala hili wote tunakubaliana ya kuwa lipo. Ila suala ulilo longelea ni la watu fulani na ni wajibu wako kutupa ushahidiKama ulishawahi kuota, mtu akija kwako leo halafu akakuambia kuwa unadanganya hujawahi kuota ndoto, wakati ukweli ni kuwa ulishawahi kuota na mpaka leo huwa unaota;
Jaribu kujenga hoja au kuuliza swali linalo endana na uhalisia. Kwanza huwezi kuulizwa swali la namna hiyo, sababu swali lako la uongo.katika hali kama hiyo how are you going to prove to the person kwamba ni kweli huwa unaota?
Mimi nataka ushahidi, na ninapo kuuliza au kutaka uniambia nani muandishi wa hizo habari ujue ya kuwa habari hizo hazijajiandika zenyewe bali yupo aliye andika, sasa uniambie ili tuanzie hapo kujua ukweli wa habari hizi.So you want emperical scientific proof kwenye spritual science, si ndiyo? Umesoma?
Somo hili nililisoma, na miongoni mwa vitabu nilivyo soma ni "The Etiquette of Research and Debate"Uliwahi kusoma somo linaitwa reserach methodology?
Hili swali sijaona umuhimu wake wala haja ya kulijibu.Huwa wanafanyaje watafiti, kulingana na mawaidha ya somo hili?
Hujanielewa. Sala hapa nilikuwa nataka kukuthibitishia kuwa swala la kuota huwa linafanyika kwenye ulimwengu wa roho, kiasi kwamba huwezi uka-prove kwa mtu mwingine kwamba huwa unaota, kwa kutumia empirical tools, kwa sababu they (emperical) do not work in the spritual world, so are spritual tools in the empirical realmHuu mfano wako ni mfano mfu, sababu suala la ndoto ni suala la kimaumbile na si la hiyari la mtu kuamua au kinyume chake. Bali suala hili wote tunakubaliana ya kuwa lipo. Ila suala ulilo longelea ni la watu fulani na ni wajibu wako kutupa ushahidi
Wana amini nini sasa?!Halafu kuna dini ya Budha ambayo haiamini kuwa kuna Mungu
Ndoto huwa inatokea kwenye ulimwengu wa roho, na ndiyo maana mtu hawezi akaota ndoto akiwa yuko macho, lazima uwe umesinzia. Unaweza ukasinzia dakika tano lakini ukaota ndoto yenye mambo ambayo unaweza ukachukua siku nzima kuyaelezea; umetembea kote duniani mabara yote ambayo umeshawahi kufika, in just within 5 minutes!Unauliza swali ambalo halilo. Jibu swali nililo kuuliza.
Ndiyo nimeota sana na nina endelea kuota.
Huu mfano wako ni mfano mfu, sababu suala la ndoto ni suala la kimaumbile na si la hiyari la mtu kuamua au kinyume chake. Bali suala hili wote tunakubaliana ya kuwa lipo. Ila suala ulilo longelea ni la watu fulani na ni wajibu wako kutupa ushahidi
Jaribu kujenga hoja au kuuliza swali linalo endana na uhalisia. Kwanza huwezi kuulizwa swali la namna hiyo, sababu swali lako la uongo.
Mimi nataka ushahidi, na ninapo kuuliza au kutaka uniambia nani muandishi wa hizo habari ujue ya kuwa habari hizo hazijajiandika zenyewe bali yupo aliye andika, sasa uniambie ili tuanzie hapo kujua ukweli wa habari hizi.
Scientific Proof ni kwa mambo ya Sayansi, na ushahidi wa kidini ni ithibati ya hakika na uhalisia, bali shahidi za kidini huwa madhubuti mno kuzidi shahidi za kisayansi kwa mambo ya kisayansi. Kwahiyo usichanganye mambo ya Kisayansi na kuyapa hadhi ya ithibati kuliko mengine, huu ni ufinyu wa maarifa.
Somo hili nililisoma, na miongoni mwa vitabu nilivyo soma ni "The Etiquette of Research and Debate"
Hili swali sijaona umuhimu wake wala haja ya kulijibu.
Ndiyo"Kwa hiyo Mungu naye anafikiri, anathibitisha, anachunguza, anakataa?
Anayethibitisha ni yule ambaye hana uhakika. Mungu anapothibitisha anakuwa hana uhakika?Ndiyo