Unaweza kuwa muunguja jina, ila sidhani kama kuna waunguja wakana mungu aisee.Mimi mwenyewe ni muunguja kwahiyo ni ushahidi tosha...au wewe una ushahidi kuwa hawajawahi kusema hivyo waunguja wote duniani?
Ulishakaa na waunguja wote?
Ulishasikiliza kila neno wasemalo?
Unapoteza kumbukumbu sana. Kauli yako ya kusema "Kisichopo hakithibitishiki" ushawahi kuumwa ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ?Sasa twende sambamba
Umedai kua hakuna uthibitisho ambao mimi nimeuweka, na kwasababu huwezi kusema kitu flani hakipo bila uthibitisho
Thibitisha hakuna uthibitisho niliouweka hapa kuonesha mungu hayupo ili kuyafanya madai yako yawe kweli
thibitisha hilisidhani kama kuna waunguja wakana mungu aisee.
thibitisha hili..umekaa nao wote? Umeshasikia kila neno walilowahi kulisema tangu wazaliwe?Tunaishi nao, hawaongei kiswahili cha sampuli,
Twende kitaalamu zaidi yaani nielezee kwa kuonesha kivumishi na kiwakilishi, kisarufi wapi hapo nimekoseawala hakuna lahaja ya kiswahili isemayo mwenye usafi,
Kati ya sarufi ya Kiswahili na Kiswahili kipi kilianza kuwepo ? Naposema mswahili haongei hivyo unatakiwa urejee kwa waswahili, ndio maana nilikutaka wewe ushahidi wa hili.Tuache siasa sasathibitisha hilithibitisha hili..umekaa nao wote? Umeshasikia kila neno walilowahi kulisema tangu wazaliwe?
Twende kitaalamu zaidi yaani nielezee kwa kuonesha kivumishi na kiwakilishi, kisarufi wapi hapo nimekosea
Na uoneshe tofauti ya mwenye upendo na wenye usafi kisarufi
Sarufi ya kiswahili ndiyo kiswahili chenyewe and yes kilikuwepo before waswahiliKati ya sarufi ya Kiswahili na Kiswahili kipi kilianza kuwepo ? Naposema mswahili haongei hivyo unatakiwa urejee kwa waswahili, ndio maana nilikutaka wewe ushahidi wa hili.
Halafu umenichanganya na id nyingine...mimi sio mkana mungu yakhe!ila sidhani kama kuna waunguja wakana mungu aisee.
Nikajua unajua kumbe hujui, nimekuuliza hivi kati ya Sarufi ya Kiswahili na Kiswahili kipi kimetangulia unajibu Sarufi. Acha utoto. Kiswahili sanifu tu kimepitishwa karne ya 20, niambie sarufi ilianza kuandikwa lini na Waswahili wapo tangu limi, kama swali ukiwa hujaliewa bora uulize.Sarufi ya kiswahili ndiyo kiswahili chenyewe and yes kilikuwepo before waswahili
Huyo ndio mswahili sasa, ndio maana husemwa hivi "Kiswahili kina wenyewe".Halafu athuman muuza karafuu sio mtu wa kurejea kwenye mijadala ya kisomi acha utoto
Umeingia humu kwa kile ulichokuwa unakiandika, kwahiyo ukitaka utoke humu batilisja yale ya nyuma yote.Halafu umenichanganya na id nyingine...mimi sio mkana mungu yakhe!
Nikuambie mara ngapi kua kauli hiyo nilikua naitumia zamani?Unapoteza kumbukumbu sana. Kauli yako ya kusema "Kisichopo hakithibitishiki" ushawahi kuumwa ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ?
Naona huelewi kabisa.
Jibu lilijificha sana umeaema hujuiSababu sisi huwa tunajua tunachokiandika, soma post #642.
Na wewe tuwekee namba ya post uliyo thinitisha ya kuwa Mola hayupo, ukiweka hiyo namba ya post, naomba kwa "mods" huu uzi waufute au waifute hii "Id"yangu.
Wapi nimesema sarufi imeanza?Nikajua unajua kumbe hujui, nimekuuliza hivi kati ya Sarufi ya Kiswahili na Kiswahili kipi kimetangulia unajibu Sarufi. Acha utoto.
kabla ya sarufi kuanza kuandikwa au kutambulika kimaandishi ilikuwepo au haikuwepo???Au waliivumbua na kuitunga hiyo karneya 20??Kiswahili sanifu tu kimepitishwa karne ya 20,
Haya, hawa waswahili unaotaka nikawaulize sasaivi walikuwepo hiyo karne ya 20 kipindi sarufi inaandikwa?niambie sarufi ilianza kuandikwa lini na Waswahili wapo tangu limi, kama swali ukiwa hujaliewa bora uulize.
ukiwa serious nistueHuyo ndio mswahili sasa, ndio maana husemwa hivi "Kiswahili kina wenyewe".
Elimu inaenda kwa kurithishana kijana.Haya, hawa waswahili unaotaka nikawaulize sasaivi walikuwepo hiyo karne ya 20 kipindi sarufi inaandikwa?
Unaniuliza tena mimi ?kabla ya sarufi kuanza kuandikwa au kutambulika kimaandishi ilikuwepo au haikuwepo???Au waliivumbua na kuitunga hiyo karneya 20??
Rejea nilipo kuquote.Wapi nimesema sarufi imeanza?
Jibu lilikuwa wazi sana tatizo unaruka ruka sana, nakurukia ubishani na kupoteza muda.Jibu lilijificha sana umeaema hujui
Sasa hiyo miungu yote imenadiwa katika dini zao kua ni waumbaji wa ulimwengu, je unakubaliana na hoja hiyo?
Huna kauli mpya kijana. Kwahiyo unakubali kwamba hukuwahi kuthibitisja hilo, na leo umepata maarifa mapya ambayo mpaka sasa hivi hujayaweka. Hatulei ujinga sisi.Nikuambie mara ngapi kua kauli hiyo nilikua naitumia zamani?
Mbona kauli yangu ya saizi nayosema uthibitisho ninao huisemi?
Mimi hapa nilitakiwa hata nisihangaike kwasababu ulishakiri kua umethibitishiwa lakini sikuoni hapa ukiutangazia umma kua scars alishanithibitishia hilo swali
Pia wewe umesema uthibitisho huo humu haupo, nataka unithibitishie madai yako
Lugha sio jua kuwa halibadiliki,lugha hukua...unahisi akifufuliwa babu wa miaka ya 1800 atatulewa kwa ufasaha sasaivi?Elimu inaenda kwa kurithishana kijana.
kwani namuuliza nani??Sarufi kabla ya kuandikwa kwa maandishi ilikuwepo au haikuwepo?Unaniuliza tena mimi ?
Rejea ulichoquote kama kinaendana na nilichosemaRejea nilipo kuquote.
Wapi nimekana uwepo wa Mungu?Umeingia humu kwa kile ulichokuwa unakiandika, kwahiyo ukitaka utoke humu batilisja yale ya nyuma yote.
Nishakuwekea umeiona?Jibu lilikuwa wazi sana tatizo unaruka ruka sana, nakurukia ubishani na kupoteza muda.
Tuwekee namba ya post uliyo thibitisha kutokuwepo kwa Mola.
Sijayaweka?, we umejuaje hayapo?Huna kauli mpya kijana. Kwahiyo unakubali kwamba hukuwahi kuthibitisja hilo, na leo umepata maarifa mapya ambayo mpaka sasa hivi hujayaweka. Hatulei ujinga sisi.