Mimi sijauliza hayo maneno yamesemwa lini...mimi nimeuliza hayo maneno yametufikia lini,ni kabla au baada ya Muhammad?Kabla ya Muhammad kwanza kabla hujakurupuka kuuliza maswali nenda kasome hapo nilipo quote ndipo utakapo juwa haya maneno yanasemwa hapo ilikuwa kabla ya muhammad au baada. hiyo ndio desturi ya mtu mwenye elimu baadae unajenga hoja mie huwa naepukana nahoja za vilabuni kama unataka kujenga hoja kwanza ukitambue kile unachojengea hoja pia uepukane na ukasuku.
soma tena huko juu uelewe niliposema 'wana claim' hao wana ni kina nani..
Mola wetu haitaji kushuka ili kuthibitisha kuwepi kwake japo huwa anashauka kila siku katika theluthi ya mwisho ya usiku. Akili aliyotupa inathibitisha juu ya uwepo wake, milango ya fahamu inaonyesha juu ya uwepo wake, maumbile yanaonyesha juu ya uwepo wake na ufunuo unaonyesha juu ya uwepo wake.
Sawli lako halina mashiko hoja sio kukufikia wewe lini hoja ni kusemwa lini ndio nakwambia tuliza kichwa. Maneno hayo yaliosemwa hapo utayakuta pia katika Taurati na ktk Injili namana moja. Halafu unadai kufikiwa liniMimi sijauliza hayo maneno yamesemwa lini...mimi nimeuliza hayo maneno yamerufikia lini,ni kabla au baada ya Muhammad?
Kuna tatizo gani kuuliza hivyo nilivyouliza?Unaniuliza Mungu gani? halafu hapo hapo unaniambia ni define Mungu ni nini? Na tena hapohapo unadai na uthibitisho?
Hivi hata wewe unaelewa unachokifanya au ndio ilimradi kubishana tu?
Hawking aliongelea sayansi, vitu vinavyoenda kwa definitiin, hesabu na uthibitisho.Swali lako halina mantiki.Acording to Hawking,Hakukuwa na muda before creation,So huwezi kuuliza what was there or who created what before time,Because there was no "before" .Hauwezi kuuliza nani kamuumba muumbaji wakati uumbaji hufanyika ndani ya muda (Cause & Effect) Na Muda haukuwepo kabla ya uumbaji wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nataka uweke ushahidi, sababu nimekuelewa vyema. Sasa tuwekee ushahidi mzee.soma tena huko juu uelewe niliposema 'wana claim' hao wana ni kina nani.
Ninae muelezea hapa ndio Mola wangu,sasa acha uoga na kupoteza muda, maama hata hao ulio wataja umeshindwa kuwathibitisha.Mimi nataka nijue mola wenu(wewe na akina nani?) ni nani hasa
Inaona, ina hisi, tuna nusa na kutafakari.Hiyo milango ya fahamu inaoneshaje uwepo wake?
Ulimwengu unaonyesha yupo aliye uumba, mwenye ujuzi na mwenye malengo na ulimwengu huu, sababu hakuna kinachokuwepo pasi na chochote au kinacho jiumba.Maumbile yanaoneshaje uwepo wake?
Ukiniuliza kwanini nini?Asiyejadili kimantiki ni wewe, nilikuuliza kwanini unaniambia nithibitishe? hujanijibu ila umekazania tu kuniambia nithibitishe Mungu yupo.
Ndio nakuuliza ili iweje?
Ufunuo unajibu yale maswali ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuyadiriki, kama vile baada ya kifo kinafata nini, kwanini tunaishi na mfano wake.Ufunuo unaoneshaje uwepo wake?
Ina maana hamjui Mungu wake ni nani?Wewe ndiyo unataka tupotezeane muda..sina muda wa kuanza kuanalyse miungu 135 kila mmoja na wapi ali claim ameumba
Chakukusaidia nenda hapa Category:Creator gods - Wikipedia ujichagulie mungu yupi unamtaka itakudirect wapi anadai ameumba
Hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.Ayo mambo yamekaa kiimani sana, hakuna ajuaye yahusuyo Muumbaji ata ivi vitabu vya dini vimetungwa tu na werevu kututia hofu kwenye kufanya ubaya,, mambo ya Mungu hayajulikani kaka tunatiana moyo tu kwenye nyumba za ibada.. Ukwel anaujua yey na sio vitabuni wala matisho tunayopewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini swali liwe "nani"?
Huwa nacheka sanna, napo ona una hangaika, kuna kitu kinaitwa "Self-Evident Truth(Bayyinah)" taani kinajithibitisha chenyewe hakihitaji ithibati. Mkubwa wako Richard Dawkins alijaribu kukipinga hiki ila kilichomkuta ni alikuwa anacheza "Mdumange".Hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Sababu "nani" ni dhamiri ya kuuliza inayofungamana na ufahamu yaani kujua, ila "nini" ni dhamiri ya swali inayofungamana na vitu vitu sivyo na ufahamu. Sasa usije kuuliza swali la kitoto tena kama hili,unazidi kujichoresha.Kwa nini swali liwe "nani"?
Unauliza swali wakati ushakuja na jibu lako mfukoni?
Namjua ndiyo maana niko hapa kumuelezea, ila mwenzako amelivagaa kwa kujidai anawajua miungu ila kinacho mkuta ni kuruka ruka na asijue pakushika.Ina maana hamjui Mungu wake ni nani?
Hujaona ufafanuzi wangu kijana.
Mimi nimekuwekea ushahidi kwa kauli yako ya kuwa "Kisichokuwepo hakithibitishiki",sasa uombwe ushahidi upi wakati huna na huwezi kujibu swali la "Umejuaje kama Mola hayupo ?"
Mara ngapi uthibitishiwe?Tuthibitishie kama Mungu hayupo.
List inaendelea hadi kina horus na zeus wako chiniBe more specific kwasababu according to Wikipedia kuna atleast Mungu 135 ambao wote wana claim waliumba mbingu na nchi.View attachment 1461174
Hujawahi kufana hivyo, na ndio maana nimekwambia hivi, wathibitishie watu humu waone, maana huu ndio mjadala uliopo sasa, mwenzako mmoja anadai yeye hana wajibu wa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola sababu yeyw hakiri kuwepo kwake, ila alivyokuwa mjinga kama ulivyo wewe anasema hayupo, anasahau ya kuwa hili nalo ni dai tu, ambalo linatakiwa kuthibitishwa. Nacheka sana, vijana waoga mno.Mara ngapi uthibitishiwe?
Halafu mnashindwa kuthibitisha hayo madai kama yanatoka kwa hao waitwao miungu au wapi ? Haya mambo tanataka msome na kuelewa na suo kujidai mnasoma tu halafu hamuelewi.List inaendelea hadi kina horus na zeus wako chini
Sawa ila kabla sijaenda kuvisoma, tusitoke nje ya mada.Sawli lako halina mashiko hoja sio kukufikia wewe lini hoja ni kusemwa lini ndio nakwambia tuliza kichwa. Maneno hayo yaliosemwa hapo utayakuta pia katika Taurati na ktk Injili namana moja. Halafu unadai kufikiwa lini
Wewe kasome kwanza hivi vitabu vya Taurati injili zaburi na quran. Kabla ya kujitia pambani ktk masuala ya Mungu
Mbona nishathibitisha humu kitambo?Hujawahi kufana hivyo, na ndio maana nimekwambia hivi, wathibitishie watu humu waone, maana huu ndio mjadala uliopo sasa, mwenzako mmoja anadai yeye hana wajibu wa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mola sababu yeyw hakiri kuwepo kwake, ila alivyokuwa mjinga kama ulivyo wewe anasema hayupo, anasahau ya kuwa hili nalo ni dai tu, ambalo linatakiwa kuthibitishwa. Nacheka sana, vijana waoga mno.