February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Hekaya za abunuasi...ukifuatilia kwa undani hao watu sio wewe, nawewe unasikiaga tu...wengine wanalipwa huko wanakodai wanapona wengine wanaenda hawaumwi...wengine hawaponi ila "kwa imani" wana'declare wamepona.Mfano matatizo ya kiafya kwa maana wapo watu ambao wameumwa na kuzunguka sana mahospitalini na kushindwa kuonekana matatizo yanayowasumbua hivyo kushindwa kupata tiba na mwishoe huishia kuamua kwenda kwenye imani na hupata tiba, haya yapo sana kwenye jamii zetu na si story za kufikirika. Huo ni mfano mmoja tu ila yapo mengi matatizo ya kimaisha ambao tunaona watu wakienda kutatua matatizo yao kwenye kutumia imani.
Toa mfanoBora masuala ya kiimani hujulikana ni imani na husisitizwa hilo ila kwenye sayansi huwa jambo halielezwi kama kama maoni au mtazamo wa wakati huo Bali huchukuliwa ndio ukweli wenyewe kwamba limefanyiwa utafiti wa kisayansi ila ajabu baadaye unakuja utafiti mwengine na kuonesha ule ukweli wa kisayansi haukuwa kweli maana una makosa.
Yupoje?Nayeye hapajui?
Uthibitisho sio mpaka 'kuona'Amini mungu yupo.
Kama kuonekana hata upepo hauonekani lakini tunaamini upo.
Binadamu ndio waliomuumba MunguThe question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Poa.Binadamu ndio waliomuumba Mungu
Nilijua tu ulikuwa unatafuta upenyo uanze kunishambulia binafsi maana ulishashindwa kutetea hoja yako.Wewe kwanza nyoosha Kiswahili chako.
Unapoongelea kiujumla, halafu unarudia tena kuandika "huwezi" kwangu mimi, unaonekana hujui kutumia mantiki na hujui lugha.
Na kama hujui mantiki na lugha, hatuwezi kuelewana.
Kama hunizungumzii mimi binafsi, unazungumzia kiujumla, unachotakiwa kuandika ni "Mtu hatakiwi kudai uthibitisho". Siyo "huwezi kudai uthibitisho".
Unaelewa tofauti?
Sasa nitajadiliana nawe vipi falsafa ya dini wakati hata Kiswahili na mantiki hujui?
Unaelewa tofauti ya kuuliza "May I help you?" na "Can I help you?".
Naona unanipaka shombo la mawazo tu kubishana nawe.
Inawezekana unatakiwa kuoga kiakili kwanza kabla ya kujadiliana nami.
Moron.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Nikupe mfano wa nini?Toa mfano
Hoja ukiiona utaijua?Nilijua tu ulikuwa unatafuta upenyo uanze kunishambulia binafsi maana ulishashindwa kutetea hoja yako.
Lini hii sayansi ilijipinga?Bora masuala ya kiimani hujulikana ni imani na husisitizwa hilo ila kwenye sayansi huwa jambo halielezwi kama kama maoni au mtazamo wa wakati huo Bali huchukuliwa ndio ukweli wenyewe kwamba limefanyiwa utafiti wa kisayansi ila ajabu baadaye unakuja utafiti mwengine na kuonesha ule ukweli wa kisayansi haukuwa kweli maana una makosa.
Tatizo huwa hata hamfanyi uchunguzi kama hapo unaongea tu kijumla jumla, niambie ni jambo gani ulifuatilia kiundani?Hekaya za abunuasi...ukifuatilia kwa undani hao watu sio wewe, nawewe unasikiaga tu...wengine wanalipwa huko wanakodai wanapona wengine wanaenda hawaumwi...wengine hawaponi ila "kwa imani" wana'declare wamepona.
Ingekuwa kweli kwanini watu mtaani wahangaike na ARV?? Kwanini nchi zihangaike na UKIMWI??
Kwanini watu wasipelekwe kwenye imani huko wakapone?
Umeelewa lakini?Lini hii sayansi ilijipinga?
Ndio unanishambulia kwa sababu hata mie ningetaka ningekushambulia kwa, kushindwa kutofautisha uthibitisho na definition.Hoja ukiiona utaijua?
Wewe usiyejua kutenganisha cha jumla na binafsi leo unaniambis nakushambulia binafsi?
Define Mungu ni nini.
Thibitisha yupo.
Sent from my typewriter using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mkuu ziwani kuna mlango ?? Hahahaha no wonder kwa nini unaamini uwepo wa mungu wakati simulizi zake ni esopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kama Mungu hayupo ? Usilete story za vijiweni.
Umesoma vitabu vya dini mpaka vikakuonyesha vimetungwa ? Kisha utupe mfano wa maandiko husika.
Mbona una hitimisha bila kuweka uthibitisho kijana ? Kwahiyo sifa ya kitu kutokuwepo kikiwa hakionekani si ndio ? Una uhakika watu hawakuona muujiza wowote ?
Aisee unaandika upuuzi sijapata kuona hapo kabla.
Maelezo yako yanaonyesha wazi ya kuwa :
1. Humjui Mungu unae kataa kuwa yupo
2. Huwezi kuthibitisha hilo ya kuwa Mola hayupo
Sasa nina swali la msingi umejuaje kama Mola hayupo na unawezaje kumjadili usie mjua ? Huu ujasiri unaupata wapi ?
Hizo test baki nazo...!! Mimi pia nimesoma maandiko nikayaamini...pia nimeshuhudia maeneo ya kihistoria juu ya yote yaliyotokea kuthibitisha uwepo wa Mungu nikaamini. Ila wewe hayo huyaamini lakini unataka niamini test zako kuonesha hewa ipoo???? Ntaaminije test ambazo nazo pia zimetengenezwa kusupport Uongoo???? Mbona wewe huamini maandiko lakini unataka niamini procedure zako za kutest hewa.. Sitaki test nataka HEWAAA NIIONEMzee kuhusu wachawi mimi siamini na hakuna mtu wa kuniroga mimi..
Kuhusu hewa ambayo kwa kingereza inaitwa air ambayo by definition ni mixture ya gases kama nitrogen , Oxygen na carbondioxide hatuwezi kuiona sababu ni colorless lakini kuna tests za kutest hizo gases na mtu una unakubali kabisa.. na personally nimetengeneza oxygen na nikaitest , nimeshuhudia carbondioxide nikaitest.. sasa unataka ushahidi gani kuhusu hewa.?
Ungekuwa unajua hata historia ya kanisa au hayo unayoyaita maandiko usingekuwa unaongea hivyo.Hizo test baki nazo...!! Mimi pia nimesoma maandiko nikayaamini...pia nimeshuhudia maeneo ya kihistoria juu ya yote yaliyotokea kuthibitisha uwepo wa Mungu nikaamini. Ila wewe hayo huyaamini lakini unataka niamini test zako kuonesha hewa ipoo???? Ntaaminije test ambazo nazo pia zimetengenezwa kusupport Uongoo???? Mbona wewe huamini maandiko lakini unataka niamini procedure zako za kutest hewa.. Sitaki test nataka HEWAAA NIIONE