Shida yenu mnabisha vitu kichwa mchunga, na hamuweki majibu sahihi zaidi ya kuhamaki na kuleta kebehi, hapa ndipo huwa nawaona ni kwa jinsi gani mlivyo mazwa zwa.Hahaha Muhammad angezaliwa karne hii angesema Mungu aliumba Simu kwanza akawa anatype mambo yake.
Ni nominoMaajabu ni nini ?
Una uhakika ? Tupe ushahidi kisha kwanini ukanasibisha Imani na Maajabu?Ni nomino
Vingi navijua ikiwemo uthibitisho wa kutokuwepo mungu.Nataka uthibitisho wa kile ulichosema unakijua.
Shida yenu mnabisha vitu kichwa mchunga, na hamuweki majibu sahihi zaidi ya kuhamaki na kuleta kebehi, hapa ndipo huwa nawaona ni kwa jinsi gani mlivyo mazwa zwa.
Nakuuliza swali tu, ni zipi sifa za kitu kilichoumbwa ?
Nakusudia kile ulicho sema unakijua mpka nika kuquote kwacho.Vingi navijua ikiwemo uthibitisho wa kutokuwepo mungu.
Unataka nikuthibitishie mungu hayupo?
Lugha kitu muhimu sana, hasa kujua maana ya maana, kujua maana ya maneno na matumizi yake na mipaka yake.Uumbaji ni stori tamu za kuwapa moyo wafiwa.
Hivo kitu chochote kina sifa ya kuumbwa
ila hamna kitu kilichoumbwa
Unajua kuwa kuna matatizo yanaishia kutatuliwa kwa njia za imani? Sasa ukisema imani haina maajabu nakushangaa.Uzuri wa imani haina maajabu zaidi ya kubakia kuwa imani tu.
Ushahidi wangu upo kwenye kamusi kipengele AUna uhakika ? Tupe ushahidi kisha kwanini ukanasibisha Imani na Maajabu?
Sa si ndio nakupanga kua pale nilikusudia mungu kua hayupo?Nakusudia kile ulicho sema unakijua mpka nika kuquote kwacho.
Hili la pili huliwezi na hukuwahi kuweza na hicho ulichosema unakijua ni hicho, na ninachofanya hapa nakuchora tu kijana.
Umejuaje hawezi?Hili la pili huliwezi
Matatizo gani?? Nachojua matatizo mengi yanasababishwa na imaniUnajua kuwa kuna matatizo yanaishia kutatuliwa kwa njia za imani? Sasa ukisema imani haina maajabu nakushangaa.
Safi kabisa. Maajabu huondolewa na nini ? Kaka kuona ni wa ajabu kwenu lakini kwa wengine sio waajabu. Sio kila linalo onekana la ajabu ni ajabu.Ushahidi wangu upo kwenye kamusi kipengele A
Utaona neno Ajabu wameandika ni nomino
Wingi wake wameandika ni maajabu.
Nimenasibisha kwasababu bila maajabu kusingekuwa na imani
Mfano:Radi ni maajabu hivyo watu wakaamini kuna watu wapo mawinguni wakikasirika radi inapiga
Kakakuona ni mnyama wa ajabu,akitokea wanakijiji huamini kuna jambo kubwa litatokea.
Sayansi imeelezea maajabu na kufanya tusiyaone maajabu, kumbe maajabu ni kuyaona maajabu maajabu kwasababu maajabu ni sisi binadamu kuona maajabu maajabu wakati ni vitu vya kawaida.
ila sio lazima kila ukiniquote uniulize swali Nawewe tia neno mkulungwa naona una maswali kama interview.
Ukiwa auamini Mungu yupo usihangaike kuuliza maswali ya aina hii we potezea maana wengi huishia kuwa walalamikaji na vichaa tu.The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Huwa najadiliana nae sana na hajawahi kufanya hivyo, zaidi ya kuruka ruka, pili haliwezi sababu hamjui Mungu ambaye anadai hayupo, na hili ni ajabu sana katika ulimwengu wa kielimu, kumkuta mtu anamjadili asie mjua halafu anamkanusha huu ujasiri huwa nauona kwa hawa wajinga pekee.Umejuaje hawezi?
Hilo nilijua kitambo ndio maana nikaona unapoteza muda, yaani ulipo lala wewe mimi nimeamka jana yake.Sa si ndio nakupanga kua pale nilikusudia mungu kua hayupo?
Unataka uthibitisho kujua hayupo?
Kitu kiwe story kwa lugha ya mtaani ni maelezo juu ya jambo/mambo ambayo hadhira inayosimuliwa haijawahi kushuhudia.Lugha kitu muhimu sana, hasa kujua maana ya maana, kujua maana ya maneno na matumizi yake na mipaka yake.
Thibitisha ya kuwa uumbaji ni story, na utupe sifa ya kitu kiwe "story" kina takiwa kukidhi vigezo gani.
Katika stori hata mimi naweza kuwa supermanKauli yako pili ni kauli yenye kosa la kimaana na kimuundo pia, yaani una kiri na unakanusha hapo hapo, huu ni utoto. Chenye sifa ya luumbwa ujue kimeumbwa na kipo ndio maana umejua hilo, sasa unacho andika ni uongo ambao hata tukikupa miaka mia huwezi kuutetea uongo huo.
Again, hakuna kitu kilichoumbwa ila katoka story tamu hata simu inaweza kuumbwa kwani nini kinashindikana? Au huyo muumbaji akiamua saivi uko alipo aumbe simu anashindwa?Simu unayotumia ina sifa ya kuumbwa au kinyume chake ? Na nini kimefanya Simu iwepo ?
Humu naona tunajadiliana na watoto au mazwa zwa.
Siwezi tangu lini?Hilo nilijua kitambo ndio maana nikaona unapoteza muda, yaani ulipo lala wewe mimi nimeamka jana yake.
Sasa naona unalizimisha nitumie akili yangu vibaya kijana. Yaani kosa kubwa kukutaka wewe unipe ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu wakati najua kabisa huwezi kufanya hivyo na pili humjui huyo unaye mkanusha.
Sijawahi kupanga kuondoa maajabu..labda wewe huwa unayaondolea nini?Safi kabisa. Maajabu huondolewa na nini ? Kaka kuona ni wa ajabu kwenu lakini kwa wengine sio waajabu. Sio kila linalo onekana la ajabu ni ajabu.
Nakuuliza sababu naona unaandika vitu vipya kwangu, na mimi nataka kujua.
Kutokushuhudia kwetu sisi hakuonyeshi au hakuthibitishi ya kuwa hakuna uumbaji, na ulitakiwa ujue ya kuwa ulianza uumbaji ndio matokeo yakawepo.Kitu kiwe story kwa lugha ya mtaani ni maelezo juu ya jambo/mambo ambayo hadhira inayosimuliwa haijawahi kushuhudia.
Uumbaji hamna
Tutakuuliza kwanza ni nani "Superman" na kisha utuonyeshe kwa lipi wewe uwe "Superman" je kimaana au kivitendo ?Katika stori hata mimi naweza kuwa superman
Sio kweli sababu kuna UHALISIA.Hivo nimekiri kuwa katika stori kitu chochote kinaweza kuumbwa
Hili unatakiwa ulitolee maelezo ya kina na utupe na uthibitisho.Lakini katika uhalisia hamna kitu kilichoumbwa
Tuonyeshe katika Story simu inawezaje kuumbwa?Again, hakuna kitu kilichoumbwa ila katoka story tamu hata simu inaweza kuumbwa kwani nini kinashindikana? Au huyo muumbaji akiamua saivi uko alipo aumbe simu anashindwa?