Nani aliyemuumba Mungu?

Mzee maswala ya juzi na kila siku waachie watunzi wa kalenda
SASAIVI mimi sijui maana ya Mungu,
Kuna dhambi gani kudefine au kuna hela utakatwa?
 
[emoji25][emoji25]Haya sasa mimi ndo nafika sasaivi.........
Nini maana ya Mungu?
 
1.Ni vp uanze kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakijua kwanza? Mfano wewe hujui Mungu ni nini ungeuliza kwanza Mungu ni nini? Baada ya kujua Mungu ni nini ndio ungeona kuwa unahitaji kuthibitishiwa au hakuna uhitaji wa uthibitisho.

2.Point bado ipo palepale kwamba kwanini ukimbilie kuhitaji uthibitisho ikiwa kuna mazingira kama hayo?

Halafu mtu kusema Mungu wake ni kitu fulani hiyo haiwi definition ya Mungu.
 
Unayaanzisha mwenyewe yakikushinda unasema nabadilisha mada. Ajabu mwenye kubadilisha mada ni wewe unae ingiza mambo ambayo hayahusiki, ukihojiwa unadai nabadilisha mada, jikite kwenye "Sophist",na mimi nilikutolea mifano ya kina Richard Hawkins.

Pili, mtu kumjua kwamba ni mjinga au mwerevu hili si jambo la ghaibu bwana mdogo. Ndiyo maana kuna muda huwa naona kabisa najadiliana na CHIZI. ndiyo wewe ni chizi.

Tatu, hajakatazwa mtu asihoji amekatazwa mtu kuhoji ujinga na katila kuhoji ujinga ndio tunawapata hao wazandiki, wajinga kama wewe, na mfano wenu.

Nne, nilikuuliza kwanini Mayahudi walipotea zama zile ? Jibu ni rahisi sana walikithirisha kuuliza uliza maswali ya kipuuzi, na hili halikubaliki, sababu tumepewa akili tuzitumie. Ndio maana nasema hivi nasubiri hoja sio hizi ngonjera.

Ahsante.
 
Mzee maswala ya juzi na kila siku waachie watunzi wa kalenda
SASAIVI mimi sijui maana ya Mungu,
Kuna dhambi gani kudefine au kuna hela utakatwa?
Definition yake ni sahani ya udongo yenye maua ya buluu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…