Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Nani aliyeiua CHADEMA chuoni UDSM?

Kabwena

Senior Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
103
Reaction score
55
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
 
Taja hao viongizi kutoka vyuo vingine nithibitishe.
 
Paulo Mkk****nda ni mmoja waliouiua CHADEMA pale UDSM.
Dogo jinga!
 
ila hao wenye akili wanajiunga ccm meno ya tembo, epa, kagoda na uchumi unaokua na kuongezeka kwa umaskn??? hao ndo wenye akili etiiii

Chadema imepotea sasa itakuja ACT
 
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
1.Waasisi wa chaso vyuoni ni juliana shonza, mtela mwampamba na joseph ludovick, na hawa wote wametoswa chadema, make your own mind
2. Ubaguzi mkubwa unaoendelea ndani ya chadema, kuna baadhi ya watu ni wapenzi wa viongozi ie wanapendwa wakati wengine hawapendwi. Mf rejea maelezo na tuhuma za makam mwenyekiti wa bavicha juliana shonza kwa viongozi wa juu wa chadema baada ya kufukuzwa uongozi bavicha.
3. Matumizi mabaya ya resources za bavicha ambapo wachche wamezihodhi
4.kuishiwa mbinu mpya viongozi wa chadema waliopo madarakani
5.viongozi wa chadema waliopo madarakani kupoteza mvuto na ushawishi
6.kukumbatia uhafidhina
7.siasa za utapeli na ulaghsi na vurugu mf. Chaso udom mwaka jana waliandamanishwa hadi bungeni, mambo yalipowawia ugumu, viongozi wa chadema waliokuwa wanawahamasisha kugoma wakazima simu na kupoteza mawasiliano na chaso udom, vijanabwakafukuzwa masomo
 
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
Uvccm wamewahonga lazima kuwapoteza jinsi ulivyoandika japo huko sipajui nimeendana na uandishi wako.
 
Thibitisha kama wanogombea wana afliation na vya vya siasa tufukuze maana by law ya udsm inasema hivyo
 
Usishangae sana Chadema mbona imekufa nchi nzima!. Sababu ni ile tekateka yao, watu hawana inani nao tena
 
hata hivyo siku hizi UDSM hata wenye 111 advance wanachukuliwa...pia imepunguza mvuto wa Chadema hapo.
 
Ni vyema ungefuatilia ungefuatilia wangapi waligombea na wangapi wamepitisha! Ndio tukaanza jadili waliopitishwa ni chama gani? Maana vyuo vingi watu wengi huwa wanajitokeza,na mara nyingi vyuo vyenyewe huwa na sera ya kupiga chini vijana wanaoonekana ni wapinzani. Hii mimi imenikuta niliwahi tishwa kufukuzwa chuo maana niliasisi tawi mara baada ya kufika chuo.
Basi jina langu lilipigwa chini na tume ambayo Dean of students ndie katibu.
 
uchaguzi wa kumpata Rais wa serikali ya wanafunzi udsm- DARUSO unafanyika keshokutwa jumatatu huku upinzani wa mkali wa miaka ya nyuma baina ya vyama vya siasa ukionekana kufifia sana, itakumbukwa kuwa miaka ya nyuma umoja wa wanafunzi wa chadema- chaso walikuwa wakitoana jasho vilivyo na vijana wa uvccm kwenye nyakati kama hizi lakini tangu kutoweka kwa kizazi cha kina Silinde, Owawa, Nassari Na Makamanda Wengine Kwenye 2009/2010 Basi Uvccm Imeonekana Kutawala Kabisa Siasa Za Udsm,. mfano mzuri ni serikali inayomaliza muda wake chini ya rais Kisanko Na Baraza Lake lote la mawaziri. pia kwasasa wagombea wote watatu Wa Urais Gibson, Nickson Na Mboya ni makada wa chama cha mapinduzi.
tathmini iliyofanywa na uvccm inaonyesha kuwa makada wake pia wameshinda asilimia 85 ya nafasi za ubunge kwenye college zote 10 zinazounda udsm!!!
najiuliza sana ni nani aliyeiua CHADEMA hapa udsm? mahali ilipokuwa ikitamba kuwa inaungwa mkono na wasomi? chaso ipo kweli? Gs Wa bavicha Munishi Na Heche Mpo Kweli???
Chadema msitafute mchawi waliyeiua Chadema UDSM ni viongozi wa Chadema, Dr.Slaa, Mbowe, Lema.

Baada ya kuwafukuza Dr.Kitila Mkumbo, na Zitto Kabwe, Chadema, hawa ndiyo walikuwa role model wa vijana wa UDSM.

Vijana wameona hakuna tena haja ya kuendelea na siasi za Chadema bora warudi CCM.

Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
 
we jinga kabisa, tuoneshe research uliyoifanya kwamba hao pekee ndio role model wa vijana wa Udsm
 
mm ni moja wa waanzilishi wa chaso,wkt juliana akiwa m/kiti mm nilikuwa makam wake na wkt huo kweli chaso ilikuwa imara,rejea mkutano tulioandaa ktk viwanja vya makubuli baada ya uongozi wetu m/kiti alichaguliwa chacha hatari ambaye baadae alifukuzwa chuo pamoja na ajina daniel naftari ambaye kwa sasa yuko bavicha.Ukweli ni kwamba udsm ilikuwa ngome ya cdm ilikuwa huwezi kuitaja ccm udsm ila kilichoiua ni fukuza fukuza iliyofanywa na chuo na kuwafukuza wanaharakati wote ambao kimsingi ndio waliokuwa tegemeo la cdm hapo udsm.Enzi za akina owawa,silinde,gwakisa,nassarina wengine chuo kilikuwa hakina utaratibu wa kufukuza wanafunzi hadi hapo kilipopokea maelekezo toka cc ya ccm.kwa ufupi hicho ndo kiini cha kifo cha cdm udsm hata saizi ukigundulika tu kuwa na itikadi ya cdm chuo huna.
 
Ni vyema ungefuatilia ungefuatilia wangapi waligombea na wangapi wamepitisha! Ndio tukaanza jadili waliopitishwa ni chama gani? Maana vyuo vingi watu wengi huwa wanajitokeza,na mara nyingi vyuo vyenyewe huwa na sera ya kupiga chini vijana wanaoonekana ni wapinzani. Hii mimi imenikuta niliwahi tishwa kufukuzwa chuo maana niliasisi tawi mara baada ya kufika chuo.
Basi jina langu lilipigwa chini na tume ambayo Dean of students ndie katibu.

we jinga kabisa, tuoneshe research uliyoifanya kwamba hao pekee ndio role model wa vijana wa Udsm

Tatizo chadema hawabishani tena kwa hoja za ukweli bali hoja za kufikirka.
Hivi inahitaji digirii kujua umuhimu wa Dr.Kitilya na Zito kwenye siasa za Vyuo?
 
Back
Top Bottom