Nani alitoa wazo la hii midoli Msimbazi?

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na huzuni aliingia, wakavimba kabisa.

Swali ni moja tu, nani alitoa wazo la hawa viumbe pale Msimbazi, na kwa nyongeza midoli hiyo ina faida gani?

midolli simba.jpg
 
Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii Midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na ndugu Huzuni aliingia na kuvimba kabisa.

Swali ni moja tu Nani alitoa wazo la Hawa VIUMBE pale Msimbazi? Na kwa nyongeza tu wana faida gani?
Nani Mdoli Sasa?
 
Jitahidi ukileta mada zako humu jukwaani, uwe unaweka pia na picha za kusindikizia.
 
Kwa hyo hujawahi kuiona hiyo midoli team yoyote mbali na lunyasi??au umeamua tu kusema blaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom