PostGE2025 Nani alitoa amri ya “shoot and kill”?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuua waue wao halafu wanataka maridhiano pasipo kuwajibika.
Hawa ccm ni wapumbavu sana
Hivi wale waliouwa huku Pemba 2001 na 2020 Kuna aliyewajibishwa. Mahita anaendelea kupeta na kula pensheni yake , wake akina Kama da George ndio waliongezwa vyeo na kupelejwa kwao Tanganyika. Wengineo walipewa vyeo. Hiyo ndiyo serikali ya CCM
 
Gentleman,
inavyoonekana,
huenda hukusikiliza ripoti ilivyokua ikisomwa na mwenyekiti wa tume na kabisa henda hufahamu chochote kuhusu hadidu za rejea ilizopewa tume kuzifanyia kazi, lakini pia huenda hukuskia wala kufuatilia kabisa mapendekezo ya tume ya jaji Chande.

pole sana lakin
 
Itakuwa samia anatumia bangi sio bure
 
Hivi wale waliouwa huku Pemba 2001 na 2020 Kuna aliyewajibishwa. Mahita anaendelea kupeta na kula pensheni yake , wake akina Kama da George ndio waliongezwa vyeo na kupelejwa kwao Tanganyika. Wengineo walipewa vyeo. Hiyo ndiyo serikali ya CCM
Unataka kumaanisha samia suluhu hasani alifanya hayo ili kulipiza kisasi?
 
Hakuna cha bahati mbaya... Ni makusudi
 
Watanzania ❌
WaTanganyika ✅
 
Jaji alisema waandamanaji walikuwa na silaha. Waliokufa ni wale waliokutwa na matundu yaliosababishwa na kitu chenye ncha kali na walikufa kwa kutokwa na damu nyingi.

Kwahiyo itakiwa waandamanaji waliuanawenyewe kwa wenyewe.

Yawezekana kwenye yale maandamano kuna vitu vingi tusivyovijua.

Tunaomba serikali ifanyie kazi haraka yale mapendekezo
 
Tanzania ni zizi LA nguruwe na waliopo humo Kama wananchi wanahesabika Kama nguruwe tu na kudharaulika tena bora hata nguruwe maisha yake yanathamani , hamna thamani ya maisha ya Mtanzania
 
Tanzania ni zizi LA nguruwe na waliopo humo Kama wananchi wanahesabika Kama nguruwe tu na kudharaulika tena bora hata nguruwe maisha yake yanathamani , hamna thamani ya maisha ya Mtanza
Hili ndio tatizo lenyewe sasa ,mentality ya unyonge na utumwa +kutokuwajibika kwa wananchi Kama wewe ambayo ndio imeimbold hao mashetani kufanya walichofanya ,Kama wameua maelfu mwaka jana ni kitu gani kinakufanya ufikiri hawatafanya tena ? Tena kukufanyia wewe mwenyewe ? ,Solution ni Watanzania kurudi barabarani tena kwa nguvu zote na silaha juu ili kulipiza kisasi na kuwafurusha hao waseng€ madarakani
 
Vijana ukiwasikiliza au ukiwasoma maongezi yao huko instagram unabaki kusikitika tu.

Kuna mahali kwenye malezi tumechemka.
 
Kwa hiyo vijana warudi barabarani wakafe tena!. Kwa taarifa yako wengi wa vijana wanaoingia barabarani hawana majukumu maishani mwao hawana cha kupoteza.

Wengi wa vijana waliopata malezi mazuri wamejifunza kwa namna ngumu sana kupitia yale machafuko ya October 29 hayupo kijana anayejitambua anayeweza kukubali kwenda kupambana na mapolisi wenye bunduki ambao wamesomea kutoa roho ya yule anayekatiza mbele ya macho yao.
 
Mkitegemea mfumo dhalimu wa ccm mtaonja radha ya mauaji ,vipigo na kuharibiwa Mali .Mtawindwa kama wanyama wa mwituni na hamtaona pa kukimbilia ,msifikiri watu ni wajinga hawajui washenzi wote waliohusika na Yale mauaji ya kishenzi .Kama Una akili utasave hii comment Ila najua akili huna .Endelea kusubiri nilichoandika hapa soon
 
Akuna alie toa amri shida ni polisi wetu hawana experience na matumizi ya bunduki wanazan bunduki za kwenye movie ni sawa na bunduki harisi

Walikua hawajui how bad bunduki ikifyaturiwa wakawa wanafanya km movie kumbe wako in real life
 
Ilitakiwa wakae kimya ili mwishowe tupate natural healing kuliko kutaka kujisafisha ilhali ndipo wanaharibu zaidi mbwa hawa.
 
Je, waliouawa wote waliandamana?!
 
Amri kutoka juu kwa wakuu wa vituo. Nao pia wapigiwa cm.
Naomba niishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…