Jamani mi nimeona thread nyingi zikiwa zinaonesha watu wanatafuta wenzi wa maisha lakini mpaka leo sijawahi sikia mtu anatangaza kuwa amefanikiwa,au humu ni utani tu?
labda ungesubiri akishatamka "I do" mbele ya hadhara ndio uanze kushangilia na kutoa hizo lectures, wewe hakwambii lakini kwa sasa bado anajishauri moyoni, ohooo!ndio mume wangu mtarajiwa......
labda ungesubiri akishatamka "I do" mbele ya hadhara ndio uanze kushangilia na kutoa hizo lectures, wewe hakwambii lakini kwa sasa bado anajishauri moyoni, ohooo!
Si ndio maana biashara nyingi zina buma, haya ya kwenda kwa "ukiangalia unaona" bila utafiti yakinifu. Mwanamme naturally anajua kukufanya ukiangalia uone hii biashara inalipa, kumbe mmh, ingia uone. Si vizuri kubweteka unasubiri kwa uhakika eti atakuoa, jiandae kwa lolote.mwanamke kujiamini babu weye! na siku njema huonekana asubuhi! unajua marriage ni kama investment ya biashara, ukiangali unaona hii italipa,lol
napita njia
You speak my languageMh! Siamini kama jf umewaunganisha watu na kuwafanya mwili mmoja coz is invisible