Nani alishapata mwenza humu jf?

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,191
Jamani mi nimeona thread nyingi zikiwa zinaonesha watu wanatafuta wenzi wa maisha lakini mpaka leo sijawahi sikia mtu anatangaza kuwa amefanikiwa,au humu ni utani tu?
 
chances za kumpata mtu humu ni ndogo ila watu hawakomi,wana speed hao?????
 
aaaah mimi na mama gaude wangu tumeonana humu humu na sasa tunarutubishana ili kuijaza dunia..ushanifahamu
 
Jamani mi nimeona thread nyingi zikiwa zinaonesha watu wanatafuta wenzi wa maisha lakini mpaka leo sijawahi sikia mtu anatangaza kuwa amefanikiwa,au humu ni utani tu?

mimi nimepata na ndio mume wangu mtarajiwa......
kama na wewe ulikuwa unahitaji mwaga CV...... mwenyewe utaniambia.......
 
ndio mume wangu mtarajiwa......
labda ungesubiri akishatamka "I do" mbele ya hadhara ndio uanze kushangilia na kutoa hizo lectures, wewe hakwambii lakini kwa sasa bado anajishauri moyoni, ohooo!
 
mwanamke kujiamini babu weye! na siku njema huonekana asubuhi! unajua marriage ni kama investment ya biashara, ukiangali unaona hii italipa,lol

Si ndio maana biashara nyingi zina buma, haya ya kwenda kwa "ukiangalia unaona" bila utafiti yakinifu. Mwanamme naturally anajua kukufanya ukiangalia uone hii biashara inalipa, kumbe mmh, ingia uone. Si vizuri kubweteka unasubiri kwa uhakika eti atakuoa, jiandae kwa lolote.
 
mimi nlimpata humu humu jf.tena ana sifa za kujenga familia.unataka kumjua jina?
anaitwa X-GIRLFRIEND.mia
 
Mh! Siamini kama jf umewaunganisha watu na kuwafanya mwili mmoja coz is invisible
 
Ni watoto wa shule ndo wakijifunza mapenzi wanaanzisha hizo thread ya kutafuta wachumba....
 
inawezekana kabisa kumpata mwenzio humu jf, coz ukiangalia mchango wa m2 kwenye sred zake utajua tu huyu m2 wa aina gani na ukaanza kumuimbisha mwishowe hayawi hayawi yamekuwa! mi nashaur wa2 u m pm m2 kuliko kujianika na li cv lako afu wa2 waanze kukusasambua, take my advice broz en sisz.
 
Aisee ni wengi sana, binafsi mimi nimehudhuria zaidi ya vikao tisa na harusi mbili, wote walituma cv zao hapa jf na wakafanikiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom