Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu.
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Siku moja nkia attend house party ya maafande .asee,
Askari wa kike wazuri bhas tu uniform zao na ile mentality ya askari bongo waznguaji inafanya tuwe vpofu
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Mpelelezi tena quoters kwake. Baada ya muda ikawa kila Jumapili yakawa mazoea nashinda naye home kwake then jioni ananisindikiza tunagonga bieri anarudi home kwake. Wenzake walianza kuni-mind kinoma eti nawadharau kwamba kambi nzima hakuna kidume hadi namfuata mwenzao na kumchapia makazini kwao.