Nani aliona ngonjera za mzee wa Maswa

ngonani

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
1,366
597
Jana ilicheka kidogo nipasuke,mzee mzima alivyokuwa akighani vina na mashairi ,audience walikuwa wanaonyesha dalili ya kuwa -bored,sijui anayatunga saa ngapi maana mashairi ya jana yalikuwa ni marefu mno na sio yale tuliyozoea ya Bungeni na misemo ya hapa na pale,mingine ina maana na mingine ya kuchapia.
Sijui ni kuzeeka vibaya au stress?nilishindwa kupata jibu.
 
mzee wa maswa kwishney
 
Hawa wazee wa kanda ya Shy Shibuda, Cheyo, Chenge na jirani zao Sitta, Kapuya na Rage ni "Pache Piche Pu"
 
Back
Top Bottom