Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Kitu ambacho sidhani kama ni kweli ni kumuhusisha Nyerere kwenye mambo ambayo yalikuwa yanaendelea ndani kwa ndani ya vyama vya ukombozi. Makaburu walikuwa n.a. uwezo mkubwa n.a. walipenyeza watu wao kuvuruga mambo. Ukweli hauwezi kufunikwa mablangeti..Nyerere alijitahidi sana kuona watu wote wa Africa wanakuwa huru
Machel alikuwa rais wa Msumbiji huru,RENAMO kilikuwa kikundi cha waasi cha bwana Alfonso D'lakhama.Siku hizi Ni chama cha upinzani.Duh, mkuu pitia tena ulichoandika, ilikuwa 1986 na sio 1996, na Machel alikuwa ni wa Mozambique na alikuwa anapigania uhuru kamili wa Msumbiji kutoka kwa " Mabandidu" RENAMO, waliokuwa na support ya South Africa, Malawi na Rodeasia ya Kusini pamoja na Wareno
ISTORIA ni somo gani?haya ndo mambo ya kufundisha vijana wetu katika masomo ya ISTORIA shuleni & vyuoni matokeo yake tunafundishwa eti "EFFECTS OF WORLD WAR ONE (WW I)"
A true warrior, a courageous leader, a hero and a fighter who knew his enemies are plotting his death but still chose to continue with his schedule to fulfill his duty.Machel had convened a meeting with journalists, FRELIMO leaders and military officers. Machel announced that he had received information that the South Africans wanted to eliminate him. He gave instructions to his Cabinet and Party what had to be done if he failed to return.
Me myself .....don't forget me!!!!!...... among them I'am!Few people are matching Machel's courage, Che Guevara is one of them.
Thanks for complementBw.franktemu123 umetema pweinti sisi waswahili hatuthamini vya kwetu mtu anakomaa kusoma mt. everest anasahau kuna oldonyo lengai hapo arusha na hafundishi popote unless awe mdadisi haswaa
... Mondlane alizikwa Kinondoni? Wekeni picha ya kaburi lake!Eduardo Mondlane aliuawa kwa bomu jijini Dar es salaam inasemekana lilitegwa katika kitabu alichotumiwa toka Ujerumani.
Wengine wanasema Mondlane aliuawa na PIDE, idara ya ujasusi ya Ureno ikiwa na lengo la kudhoofisha harakati za uhuru wa Msumbiji.
Alizikwa makaburi ya Kinondoni, nafasi yake ya uongozi wa FRELIMO ilichukuliwa na Samora Machel.
View attachment 419960
Eduardo Mondlane akiwa na Ernesto Che GuevaraDar es salaam mwaka 1966.
Sio huyu, Josina alifariki ktk hospital ya Muhimbili. Mke wa Machel aliyeolewa na Mandela anaitwa Graça Machel,yuko Maputo kwa raha zakeSanaa. Mandela akaamua kujivutia
Una umuhimu gani?Mpira n muhimu pia mkuu
Hii ndiyo nyumba aliyekuwa akiishi mondlane dsm... Mondlane alizikwa Kinondoni? Wekeni picha ya kaburi lake!
Huyu mwamba, Che naye kumbe aliwahi kutia timu Bongo? Duh! Ukisikia harakati ndio ilikuwa enzi hizo! Ukichanganya na mashuja akina Walter Rodney (How Europe Underdeveloped Africa) akiwa profesa pale UDSM kweli "itikadi" ilikuwa imekamilika.
Imagine colabo kama hii iko kwenye kikao (of course cha SIRI) na Chairperson ni His Excellence Mwl. Julius K. Nyerere imagine maamuzi yatakayotoka hapo! Ni nuksi usiombe ujadiliwe kwenye kikao kama hicho.
Anyway, kinachotia hasira zaidi ile mizee (of course by then vijana) iliyopikwa ikapikika enzi zile ndio ilikuja kutuingiza chaka kama taifa!