Nani alikwambia "Ingilishi" ni rahisi?

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,451
2,000
msaada Ras simba anahitajika fasta...
View attachment 211228
Kiuhalisia hajakosea ndio maana Mwalimu wake hajampa X km kosa kwani China kwa vitu Fake ni mabingwa
na hili swali ni lazima hata Mwl yeyote atachemka maana lina majibu mengi

  • original - Fake, 2nd hand, mchina, artificial, Tribe (alikozaliwa)
kiukweli kuna majibu 100
 

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
jamani nimecheka kidogo nitapike huyo atakuwa ni mtoto wa dot.com tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom