Nani alijenga Mapyramid ya Misiri ya kale?

Ndiyo ninaifahamu ndo maana nnaongea hapa.

Unadhani kuwa mimi ni mtu wa hearsey kama wewe!?
Haya lete mambo, nipo nasubiria. Lete facts za kile ulichokisema kuhusiana na piramids, na si timeline ya waisrael
 
Haya lete mambo, nipo nasubiria. Lete facts za kile ulichokisema kuhusiana na piramids, na si timeline ya waisrael
Timeline ya waislael ni ipii.



Anzia hii ya mwisho

 
Hayo mapyramid (majumba) yalijengwa kwa njia ya ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mwenyezimungu mwenyewe wakati wa kipindi cha Musa na nduguye Haroun. Na yamejengwa kwa hesabu kali mno ili kiwezesha kufanyika kwa ibada kwa uelekeo wa qibla kwa wakati huo (Masjid Al Aqsa) kabla qibla hakijahamishwa kuelekea Macca. Ushahidi wa hayo ni Qur'an 10:87. Jambo linapofanyika kwa njia ya ufunuo lolote huwezekana.

Povu ruksa na hutaki unaacha.
Kuna ushahidi mwingine kusupport hoja zako nje ya Kitabu hicho Cha dini yako?
 
Back
Top Bottom