Haya lete mambo, nipo nasubiria. Lete facts za kile ulichokisema kuhusiana na piramids, na si timeline ya waisraelNdiyo ninaifahamu ndo maana nnaongea hapa.
Unadhani kuwa mimi ni mtu wa hearsey kama wewe!?
Timeline ya waislael ni ipii.Haya lete mambo, nipo nasubiria. Lete facts za kile ulichokisema kuhusiana na piramids, na si timeline ya waisrael
vumbi lipi la congo au la Dodoma mavumbi yapo meng[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau kuuliza na vumbi nani aliyelileta
MhhHaya lete mambo, nipo nasubiria. Lete facts za kile ulichokisema kuhusiana na piramids, na si timeline ya waisrael
Kivipiaisee...jeiefu raha sana
Kabisa mkuuaisee...jeiefu raha sana
Nakuunga juhudiSiwezi amini kabisa kuwa hekari tatu ni sawa na Viwanja vitatu vya Mpira. Sijajua mpira upi, ? Lakini kama ni mpira wa Miguu, viwanja kumi ni eneo kubwa kuliko Hekari tatu. Labda Hekta.
DuhNakuunga juhudi
OkayNdiyo ninaifahamu ndo maana nnaongea hapa.
Unadhani kuwa mimi ni mtu wa hearsey kama wewe!?
Kuna ushahidi mwingine kusupport hoja zako nje ya Kitabu hicho Cha dini yako?Hayo mapyramid (majumba) yalijengwa kwa njia ya ufunuo (wahyi) kutoka kwa Mwenyezimungu mwenyewe wakati wa kipindi cha Musa na nduguye Haroun. Na yamejengwa kwa hesabu kali mno ili kiwezesha kufanyika kwa ibada kwa uelekeo wa qibla kwa wakati huo (Masjid Al Aqsa) kabla qibla hakijahamishwa kuelekea Macca. Ushahidi wa hayo ni Qur'an 10:87. Jambo linapofanyika kwa njia ya ufunuo lolote huwezekana.
Povu ruksa na hutaki unaacha.
HaswaaaaImani ni shambulio la akili
Ni kweli mainjinia wa kiyahudi ndio walijengaWalijenga Wayahudi walipokuwa utumwani misri.
Una ushahidi wowote?Ni kweli mainjinia wa kiyahudi ndio walijenga