Hivi nani aliipa hadhi Tanga kuwa jiji? Hivi nikuulize Kati ya Tanga na kahama wapi kuna mishemkshe? Jibu ni kahama Sasa Kwanini mpaka Leo kahama imebakia kuwa wilaya? Kiukweli sijaona mkoa au jiji la hovyo kama Tanga aisee
Huu mkoa msambaa kidogo ndio anauamsha ila makabila mengine yaliobakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.