Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,960
Kila mtu sasa anajua kile kinachooendelea, sio siri tena kwamba kuna kila juhudi za kuwapata wana-CDM wahamie CCM. Sio kificho tena kuwa juhudi hizo zinafanyika kwa siri na kwa uwazi. Katika tafakuri yangu nikajikuta najiuliza swali hi; JE NI NANI ALIHAMIA AU PENGINE ALIRUDI CCM AKAFANIKIWA? Mafanikio haya ni ya kisiasa na sio kiuchumi. na ni kwa nchi yake sio kwake binafsi!!!!
Nani ameweza kuwa mzalendo wa kweli CCM ambaye alitoka Upinzani? Kwahio, kwa vijana wenzangu wenye kutafuta future ya maisha yao ya baadae, nawashauri waangalie upepo unakoelekea. Ila kama una mtu unamfahamu alihama upinzani na kufanikiwa basi tumtaje hapa jukwaani. Atajwe kwa jina na wote tukubali, kama hakuna tujiulize mara mbili mbili na sio kuwashauri wenzetu wahame!!!
Na pia baada ya kuwataja, kama kweli wapo tupime na ratio yaani waliohama ni wangapi na kati yaho waliofanikiwa ni wangapi!!!