Nani alifadhili sherehe za polisi Malimani City

Hajatajwa mtu mkuu hapo.. nimeuliza tuu. Kama unajua unasema ila sio.kuzingizia RC sijui anaonewa.. tafadhali usitulishe maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kataa bisha uwezavyo lengo lako Kuu katika huu ' Uzi ' ni Kumlenga na Kumsema RC Makonda na hukuwa na lingine. Usidhani Watu wote hapa JamiiForums ni ' Mapopoma ' kama labda ulivyo Wewe na hao wanaokuunga hapa mkono. Narudia tena kwa Kujiamini kabisa kuwa huu ' Uzi ' umeuanzisha kwa ' Makusudi ' ukiwa na lengo ' Mama ' la kutaka ' Kumchafua ' tu RC Makonda kwa ' Chuki ' zako za ' Kipumbavu ' dhidi yake.
 
Swala kama ni yeye au siyo yeye kwa mshahara upi atoe hizo magari na kulipia ukumbi.

Hata kwa ofisi yake kwa pesa ipi ofisi inaqeza kuwa na pesa hiyo hali wananchi wanahitaji huduma za msingi kabisa .

Usijitoe ufahamu kwa manufaa yako binafsi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwanzo ulisema kuwa hukuanzisha huu ' Uzi ' kwa Kumlenga Yeye ( RC Makonda ) lakini ulivyo na ' Akili ' fupi ulichokiandika hapa umeshathibitisha kila Kitu. Na ndiyo maana nimekuambia kuwa usidhani Watu wote hapa JamiiForums ni ' Mapopoma / Wapumbavu ' kama Wewe na baadhi wanaokuunga mkono. Sasa ulibisha nini na hapa umedhihirisha nini? Hopeless mkubwa Wewe!
 
Nina uhakika tukio hili lingefanywa na Kiongozi mwingine ( siyo Makonda ) wala usingehoji hivi ila nilichogundua tu ni kwamba Watu sasa tumekuwa na ' Chuki ' za ' Kipumbavu ' dhidi ya RC Makonda ambazo kuna muda zinasababishwa na ' Wivu / Husuda ' zetu za Kiswahili Kiswahili.
Binafsi kama GENTAMYCINE huwa nampinga mno RC Makonda na hadi ' Kumkosoa ' katika mambo fulani fulani ila sijawahi kuwa na wala sitokuwa na ' Chuki ' nae hasa kwa mambo mema na ya Kimaendeleo ambayo naona anayafanya. Ana mapungufu yake kweli kama vile ambavyo Kibinadamu Mimi na Wewe pia tunayo yetu ila naona kwa sasa tumezidisha ' Chuki ' zetu za ' Kipumbavu ' kabisa Kwake.
Leo hii unahoji RC Makonda kuwafanyia Sherehe hawa ' Askari ' Polisi kwa ' Utendaji ' Kazi wao uliotukuka lakini hapo hapo tena unasahau kwamba ni RC Makonda huyu huyu ameweza pia kusaidia Watu wengine na pia mchango wake mkubwa umeonekana katika Michezo pia hasa kwa Timu yetu ya Taifa Stars ila sijakusikia wala kukuona sehemu yoyote ama ukimpongeza au ukitambua mchango wake huo.
' Logically ' sijaona tatizo lolote lile kwa RC Makonda ' Kuwazawadia ' hawa Askari Polisi tena naona ndiyo amefanya Jambo jema kabisa ambalo nina uhakika litawaongezea ' Morali ' kubwa ya Kuchapa Kazi kwa ' Askari ' wengine na pia kuwaonyesha kuwa ' wanathaminiwa ' na ' kutambuliwa ' na Jamii yao. Ni tukio ambao ukiwa na ' Akili ' kubwa utagundua ya kwamba lina ' Faida ' kubwa ya Kiutendaji kuliko Hasara.
Na bahati nzuiri hata katika Katiba yetu ya Tanzania hakuna mahala ambapo Mtu amekatazwa ama Kuwafanyia Sherehe Askari Polisi au Magereza au FFU au Mgambo au Wanajeshi au TISS isipokuwa huenda tu pakawa na utaratibu ' Maalum ' wa ' Kuwazawadia ' hao ambapo kuna ambao utafanywa Kiuwazi kama hivi kwa Polisi na wengine ni wa ndani kwa ndani na hii ni kutokana na ' Unyeti ' wa kila Taasisi.
Tujitahidi kupunguza ' Chuki ' zetu za ' Kipumbavu ' kwa RC Makonda na tuache kuwa na ' Wivu ' nae wa ' Kijinga ' kwa kupenda Kwetu tu Kuhoji vitu ambavyo ' sometimes ' havihitaji ' Akili ' kujua kwanini anavifanya au vinafanyika. Kwa taarifa yako tu ni kwamba hata Wewe kama Raia Mwema na Mzalendo wa nchi hii unao uwezo na unaruhusiwa ' Kuwatunuku ' hao ' Askari ' Polisi hasa pale unapoona wanafanya vyema. Kuna Watu wengi sana huwa ' wanawazawadia ' Askari Polisi wa barabarani ( Trafiki ) mbona huwa sikuoni ' ukishangaa ' au ' ukihoji ' hilo lakini umekimbilia tu kwa hili la RC Makonda kuwafanyia Sherehe hawa Askari Polisi pale Mlimani City?
CHUKI ZA KIPUMBAVU!
Wakati wa sherehe ndogo ya ushindi wa CCM pale sentro Makonda aliwaahidi atawafanyia sherehe ya familia baadae.
CHUKI ZA KIPUMBAVU?
 
Ahsante kw msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana kuona polisi wanakula bata milimani city.

Kwa kawaida sidhani kama utawala huu ungeruhusu polisi wale bata kwa fedha za umma.

Je polisi wanaruhusiwa kuandaliwa shehere na wadau?

Je hao wadau ni kina nani?

Je JWTZ nao watapewa siku yao ya kula bata?

Inatia mashaka sana kama tupo salama.

Send using ...
Bashite
 
Mmmmh....mimi kwa nilivyo muelewa mleta mada ni kwamba hana shida na sherehe wala kuona ni kitu kibaya....Point yake ya msingi nimeona kama anataka kujua hizo pesa za kufanya hayo yote anapata wapi?

Labda ni pesa(fungu) ambalo lipo chini yake kama mwenyekit wa kamati ya ulinzi mkoa?...au ni pesa zake kama yeye makonda. Ni vizuri pia kuhoji maana usikute kuna mafungu ya hivi lakin ma-RC wengine hawazitumii kufanya mambo kama hayo.

Zikiwa ni pesa zake yeye binafsi ni jambo jema na la kiuzalendo kutoa pesa yake binafsi kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu...Lakin pia lazima tuhoji ni Pesa hizi hizi anazo zipata kama mtumishi wa uma kihalali?.

Nakupa mfano.....Kwenye jimbo moja huko nchi za Amerika ya Kusini kulikuwa na Drug Dealer mmoja mkubwa sana alikuwa na Pesa sana na aliwasaidia wananchi wa jimbo lake kwa huduma za kijamii and alike...Lakin alikuwa anaua Nguvu kazi ya taifa ulimwenguni(Vijana) kwa madawa ya Kulevya.

Sasa kwa Upande wenu wana Jamvi ni vizuri kuendelea kumsifia huyu mtu aendelee kusaidia watu/jamii ambayo ni asilimia ndogo ya jamii nzima huku akiacha majority ikiumia kwa matendo yake ya kujipatia Pesa nyingi kwa Biashara ya Madawa ya kulevya?

N.B Sijamaanisha Pesa ya RC Makonda ni Chafu au ya Wizi ila ikijulikana kama mambo anayo yafanya ni atatoa pesa zake binafsi itapendeza tukiweza kujua kama ni kweli zake halali kama mtumishi.

(Mazuri yapo mengi anayofanya RC lakini yakifanyika kwa kificho yaani sources zake zisipo julikana inazua mjadala kwa watu ambao hupenda kuwaza nje ya Box which is Right)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona lipo wazi aliyeandaa ni RC wa dsm, kwa kutumia fedha za walipa kodi ama rafiki zake, pia unaona kabisa katoa zawadi ya toyota crown athlete kwa askari wawili, hili siyo jambo la kawaida na sidhani kama fedha anazitoa kwenye bajeti iliyopo ya mkoa, kwa maana nyingine anajiongeza
Gsm nyuma yake
 
Nimeshangaa sana kuona polisi wanakula bata milimani city.

Kwa kawaida sidhani kama utawala huu ungeruhusu polisi wale bata kwa fedha za umma.

Je polisi wanaruhusiwa kuandaliwa shehere na wadau?

Je hao wadau ni kina nani?

Je JWTZ nao watapewa siku yao ya kula bata?

Inatia mashaka sana kama tupo salama.

Send using ...
Sherehe huwa kwenye bajeti, kwakuwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo ndiomana maswali yanaibuka.
 
Back
Top Bottom