- Thread starter
- #41
Nadhani hili jina pia lina muhusu mtu ambaye amefariki bila kutimiza ndoto zake
Kama kuna logic hivi!Wa kikuyu ndio watumizi wa kubwa wa huo msamiati..ila sisi wa Tz ni ma zero kweli....miaka 3 nyuma Sauzi wali sign dili na kenya kupeleka walimu wa kiswahil Sauz wa Tz waka paza sauti wakidai siiai ndio waasisi na manguli wa kiswa
Hayati Magufuli akaenda Sauzi akapokonya ile dili na sisi tukapewa ..sasa ivi wakija wa sauz wakaona kumbe ma Tz yenyewe yana kopa misamiati toka kenya si wataona sie wa Tz ni mazwazwa
Embu tuache matumizi ya misamiati ya hawa wa kikuyu