Nani aliasisi jina "Mwendazake"

Na huku kweli limepata umaarufu kwakuwa stesheni nyingi za Kenya, zilikuwa zinafuatilia na kutangaza sana msiba wa Hayati Magufuli na walikuwa hawasemi Hayati ila Mwendazake.

Ila bado sijajua nini tofauti ya Marehemu na Hayati, Maana Uhuru Kenyatta pale Dodoma alisema "Marehemu Hayati John Pombe Magufuli"

Wewe unatakiwa kujua sio kila wakati Ni sahihi kumnukuu Kenyata. Inawezekana ile Siku alishapiga Cha Arusha na Machozi ya Simba. Mimi huwa simuamini Sana kwa Kweli.🏃🏃🏃
 
Kwa mujibu wa wakenya,

HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
Waiteeeeeeee!!! Kweli bangi inawafaa Marasta pekee🚶🚶🚶
 
Kwa mujibu wa wakenya,

HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
Kama ndivyo sasa Mwendazake wetu huku inakuwaje aitwe hivyo?
 
Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
Ni kiswahili cha Kenya. Kenya ndilo hutumika zaidi kuliko marehemu au hayati.. Ni pure KENYAN.
 
Kwa mujibu wa wakenya,

HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.

Kwa hiyo kwa maana hiyo HAYATI ni yule anaezungushwa na kuwekwa uwanjani ili watu wamuangalie kwa wiki kama Viongozi wengi

Hapo kwa Mwendazake umeniacha hoi
 
FYI .., maneno na majina hayo yote ni ya kiarabu, kuanzia unazaliwa hadi unakufa na hatimae kuzikwa:-
MAREHEMU = Urehemewe
HAYATI = Uhai (my loving life)
KIFO = Kufa, Wafa, maut
........ tafuteni
 
Na huku kweli limepata umaarufu kwakuwa stesheni nyingi za Kenya, zilikuwa zinafuatilia na kutangaza sana msiba wa Hayati Magufuli na walikuwa hawasemi Hayati ila Mwendazake.

Ila bado sijajua nini tofauti ya Marehemu na Hayati, Maana Uhuru Kenyatta pale Dodoma alisema "Marehemu Hayati John Pombe Magufuli"
Hayati ni mtu mwenye wadhifa wa fedha au cheo ,kifo chake kinagusa watu wengi sana

Marehemu ni watu tabaka la kati,kifo chake kinagusa watu wengi hasa wa karibu yake au waliowah kuwa karibu nae.

Mwendazake ni mtu aliyekufa kifo cha kijinga tu,na life lake lilikuwa la hovyo hovyo yani kero kwa wengine,hata kifo chake hakiachi alama moyon kwa watu
 
Nashukuru kiongozi
 
Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
Wa kikuyu ndio watumizi wa kubwa wa huo msamiati..ila sisi wa Tz ni ma zero kweli....miaka 3 nyuma Sauzi wali sign dili na kenya kupeleka walimu wa kiswahil Sauz wa Tz waka paza sauti wakidai siiai ndio waasisi na manguli wa kiswa

Hayati Magufuli akaenda Sauzi akapokonya ile dili na sisi tukapewa ..sasa ivi wakija wa sauz wakaona kumbe ma Tz yenyewe yana kopa misamiati toka kenya si wataona sie wa Tz ni mazwazwa

Embu tuache matumizi ya misamiati ya hawa wa kikuyu
 
Back
Top Bottom