Kwanza, hakuna aliye na akili timamu atayedai ownership ya ripoti ya tume batili iliyoundwa na Rais haramu?
Pili, huyo Samia kathibitisha lile jambo ambalo tulilipigia makelele, kwamba, hiyo tume si huru wala halali. Mgongano wa kimaslahi ulikuwa wazi kabisa.