Nandaa ndoa yangu ya Mkristo na Muislam

Jamani mimi nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu juu ya hizi imani zetu na waanzilishi wake. Kwa Uislam naamini Muhamad hakuanzisha haya madhehebu ya Suni, Shia, Kurdi n.k ambayo yapo katika uislam lakini yana misimamo tofauti hata kuweza kuuana km Iraq kaskazini. Vivo hivyo katika ukiristo kuna madhehebu ambayo hayaishi kupondana, mara eti wale kanisa la Shetani. Au Wakatoliki sio dini ya kweli ila Usabato. Tena eti kuwa Mpetekoste ndio sasa. Lakini yesu alileta Ukristo na hakuleta haya madhehebu na wala hakusema kupitia dhehebu fulani mtu ataenda peponi. Pia katika uislamu nadhani ni hivyo hivyo na hatuambiwi wateule wataishi katika makundi huko peponi. Sasa huu ni mtego ambao watu wenye akili za umimi na uroho ndio hutugawa kwa misingi ambayo ni kinyume cha misingi ya hizi imani mbili. Wana JF mnajiita Great Thinkers lakini bado mtu km Malari Sugu na wanaojibu hoja zake udini mnaingia kwenye mtego. Kwa kutambua hii siri mimi nitajitahidi tu kuwa msafi na sio nishabikie dini halafu mtenda dhambi. Hivyo natangaza nia ya kuoa muislam hadi nipate andiko takatifu litakalosema peponi tutaishi km Waislam (shia, suni kivyao) au Wakristo (wasabato, waluteri) kivyao. Siwezi kuukubali upuuzi mimi. Mwenye hoja ya msingi aseme na aeleze haya madhebu katika kila dini yana asili gani.

Una ushahidi wa hilo?
 
Ukiongea na wasichana waliowengi wa kiislamu wanasulutishwa sana kwenye ndoa za kiislamu, wengi sana wanapenda ndoa za kikristo kwani kwa kiasi kikubwa hazina mitala ila kwa kuwa wamewekwa kama kachombo ka starehe hawana la kusema wanakubaliana situation. sheria za kiislam sijui nani alitunga zinamkandamiza sana mwanamke, hata mahakama ya kadhi wengi sana waislam rafiki zangu wanaipinga sasa huwa najiuliza hawa wanaodai kwa nguvu wanawazungumzia waislamu wapi. shame on you mashehe ubwabwa
 
hamjuimungu wa kweli. Kwa hivyo muislam kumuoa mkiristo lazima asilimu . Hakuna ndoa ya watu wa dini togfauti

Malaria Sugu huo ni upeo mdogo wa kufikiria, kuna wakati inatakiwa uweke imani pembeni utumue akili ndo maana Mungu alikuumba na utashi yaani uwezo wa kulifikiria jambo ila ss ndugu zetu mmeamua kufuta utashi wenu na kutumia imani 'ambayo haionekani' kufanya decision ya kila jambo. Sina shida na mkaka wa Kiislamu akitaka tuoane ila siwezi kuvumilia aniletee mke wa pili officially home. Hizo dini za waarabu na wazungu walitulete in 1800's so unataka kusema before that babu zetu wote wameenda motoni?? If wasingekuja ww malaria sugu na mm si tungekuwa kila mtu sijui anaaubudu sijui mlima, mito, maziwa n.k
 
Sasa mkuu utakuta umepata msichana mzuri wa kiislam na ana tabia zote za kuwa mke wa kuoa anakueleza kuwa kakupenda lakini dini yake ndio tatizo na ikiwezekana wewe ndo umsaidie. Halafu pia unamkubali kwelikweli. Utafanyaje?
Hawa wenzetu kwa ufinyu wao, sisi hatukubaliki na ni haramu kwao! WTF, kuna binti wa kiislam namfahamu alibadili dini akaalibadili dini kuwa mkristu akaolewa na. Mkristu, baba yake akamkana hadi leo. They are teribble, wasichana wengi wa kIislam wanakuwa waoga kuolewa na wa kristu kwa sababu hii. Kama mnapendana kweli fanya kweli. Dini haizidi upendo!PLAN B NI KWAMBA MTIE MIMBA HUYO BINTI, watajichekesha chekesha wenyewe mbele yako kidume!
 
Back
Top Bottom