Nandaa ndoa yangu ya Mkristo na Muislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nandaa ndoa yangu ya Mkristo na Muislam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Acha Uvivu, Jun 11, 2011.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani mimi nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu juu ya hizi imani zetu na waanzilishi wake. Kwa Uislam naamini Muhamad hakuanzisha haya madhehebu ya Suni, Shia, Kurdi n.k ambayo yapo katika uislam lakini yana misimamo tofauti hata kuweza kuuana km Iraq kaskazini. Vivo hivyo katika ukiristo kuna madhehebu ambayo hayaishi kupondana, mara eti wale kanisa la Shetani. Au Wakatoliki sio dini ya kweli ila Usabato. Tena eti kuwa Mpetekoste ndio sasa. Lakini yesu alileta Ukristo na hakuleta haya madhehebu na wala hakusema kupitia dhehebu fulani mtu ataenda peponi. Pia katika uislamu nadhani ni hivyo hivyo na hatuambiwi wateule wataishi katika makundi huko peponi. Sasa huu ni mtego ambao watu wenye akili za umimi na uroho ndio hutugawa kwa misingi ambayo ni kinyume cha misingi ya hizi imani mbili. Wana JF mnajiita Great Thinkers lakini bado mtu km Malari Sugu na wanaojibu hoja zake udini mnaingia kwenye mtego. Kwa kutambua hii siri mimi nitajitahidi tu kuwa msafi na sio nishabikie dini halafu mtenda dhambi. Hivyo natangaza nia ya kuoa muislam hadi nipate andiko takatifu litakalosema peponi tutaishi km Waislam (shia, suni kivyao) au Wakristo (wasabato, waluteri) kivyao. Siwezi kuukubali upuuzi mimi. Mwenye hoja ya msingi aseme na aeleze haya madhebu katika kila dini yana asili gani.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  una point fulani hivi....big up
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  uchafu wa wanawake wa kikristo ni nini?
   
 4. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa hapa nimegundua unafiki. Unamuamini aliyeleta ukristo, Yesu lakini hutaki wakristo kuoa waislamu. Nadhani ingewezekana mdahalo kati ya Yesu na Muhamad ungetatua haya maujinga yetu halafu tuumbuke na kujifanya kwetu waelewa au wasomi.
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  jihad.
   
 6. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Wewe umeolewa chungu cha ngapi mpaka wa leo?
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  unandaa ndoa yako ya mkristo na mwislamu?kwani wewe dini gani?
   
 8. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii mijadala imekuwepo miaka nenda rudi. wapo walioafiki upande mmoja, na wapo wengi tu wasiotaka kukubaliana na upande wowote. In short, fanya homework yako, ujue unataka kukaa upande gani, au usiwe na dini kabisa..
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya imani kwa kweli ni magumu hasa linapokuja suala la ndoa kwa watu wa imani tofauti!
   
 10. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  (wagalatia 3:1:cool: Maana, kama zawadi ya Mungu inategemea sheria,basi haiwezi kutegemea tena ahadi ya Mungu. Kumbe,lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa sababu aliahidi. Ya nini basi sheria? Iliongezwa hapo ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja yule mzawa wa Abraham aliyepewa ile ahadi. Sheria ililetwa na malaika kwa mkono wa mpatanishi. (22-26) Je, sheria inapingana na ahadi za Mungu? Hata kidogo! Maana,kama kungalitolewa sheria ambayo ingeweza kuwapa watu uhai,basi, tungeweza kufanywa waadilifu kwa njia ya sheria. Lakini sivyo; Maandiko Matakatifu yamekwisha sema kwamba ulimwengu upo chini ya utawala wa dhambi; na hivyo, wenye kuamini watimiziwe ile ahadi aliyotoa Mungu, kwa KUMUAMINI YESU KRISTO. Kabla ya kujaliwa IMANI, sheria ilitufanya tuwe wafungwa,tukingojea imani hiyo ifunuliwe. Basi, hiyo sheria ilikua kama mlezi wetu mpaka atakapokuja Kristo, ili KWA NJIA YA IMANI TUFANYWE WAADILIFU MBELE YAKE MUNGU. Kwa njia ya imani, nyote mmekua watoto wa Mungu kwa kuungana na KRISTO. (5:18) KAMA MKIONGOZWA NA ROHO, BASI, HAMKO TENA CHINI YA SHERIA.J
   
 11. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Una hoja ya msingi sana.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280

  Ms
  , naomba unielimishe hivi ni kwa nini viongozi wengi wa nchi za kiislamu/ kiarabu hawajaoa wanawake wa kiislamu?
  Mfano kwa uchache ni hawa, Yasir Arafat, Hosni Mubarak, mfalme wa Morroco, Rais wa Syria na wengineo, naomba kujulishwa tu, mkumbuke hili sio jukwaa la mihadhara hapa ni hoja kwa hoja.
   
 13. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Dini ya kweli ni kujipenda wewe mwenyewe; kumpenda jirani yako na kumsamehe yuke aliyekukosea. Jinsi gani utaitafsiri au kwa madhehebu gani sioni kama ni kitu cha kuumiza kichwa na zaidi kujenga chuki ambayo Mungu wa kweli hapendi..
   
 14. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo huyu Mungu wa Msamaha mpenda watu wote sawa, siku ya mwisho ataniambia, "kijana umefanya mambo yote sawa, lakini huwezi kuja kwangu sababu ulioa mtu wa dini tofauti"..... Hii kweli inaingia akilini kwako, sababu kwangu naona kama vile inakwenda kinyume na Imani ya Upendo.
   
 15. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Epusha usumbufu, jitafutie kabinti safi kakikristu ujiolee mule maisha!
   
 16. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa mkuu utakuta umepata msichana mzuri wa kiislam na ana tabia zote za kuwa mke wa kuoa anakueleza kuwa kakupenda lakini dini yake ndio tatizo na ikiwezekana wewe ndo umsaidie. Halafu pia unamkubali kwelikweli. Utafanyaje?
   
 17. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Pumbavu!!! Wewe mwenyewe mchafu! Wangekuwa wasafi mngehangaika kuwapiga talaka na kuoa wanawake wengi?Upuuzi hata sisi hatuwataki ndiyo maana tunawapita tu! Kwanza wana majini hao. Mara oooh niruke ukuta! Tutaweza wapi hiyo laana sisi?
   
 18. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna point hapa.
   
 19. d

  daligo JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 535
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  malaria sugu ni najisi na kafiri............................kafie mbele na jihadi zako
   
 20. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Chukulia dini kuwa ni "Personal Item". Usihusishe, usitukane na kusumbua watu wa dini nyingine. Kila mtu na imani yake.
  Ndoa pia ni "personal item". Ni bora kuoa au kuolewa na mtu ambaye mtaelewana lugha.
   
Loading...