Nancy Pelosi vs Job Ndugai

Nancy Pelosi vs Job Ndugai

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Hawa wote ni maspika wa mabunge yao.

Nachelea kusema Ndugai hawezi kuvaa viatu vya mwanamama Pelosi kwa umahiri na ushujaa wa kusimamia maslahi ya Taifa bungeni.

Inaonesha jinsi Separation of Power ilivyo na nguvu. Hakuna taasisi iliyo na nguvu dhidi ya taasisi nyingine.

Mambo yanayoendelea bunge la sasa la Tz ni aibu. Kuna wakati unatamani hata usiwe mtanzania kwa hoja na maazimio yasiyo na vichwa wala miguu.

Marehemu Sitta alijitahidi kuweka uzani sawa kama Spika wa Bunge. Huyu wa sasa ni kihoja.

Changamoto kwenu watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wazima wanafanya mambo ya kitoto kabisa mbele ya hadhara, hiyo ndio demokrasia wanataka kutupa.
 
Samahani man lkn hauna akili sawa sawa, Pelosi ni Kiongozi wa Upinzani ambaye anaongoza ( Bunge) la Upinzani USA, Ndugai ni Spika wa CCM chama kinachoongoza Serikali hauoni tofauti hapo? Kama Pelosi angekuwa Chama kimoja na D.Trump hapo ungekuwa na maana lkn ni wapinzani, hata TZ kama Upinzani wangekuwa na Wabunge wengi na kutoa Spika pia Spika wao angeweza kufanya mengi zaidi, hivyo usimlaumu Ndugai hawezi kukisaliti Chama chake ataondoka mara moja.
 
acha kumfananisha Nancy na mijitu ya ovyo inayo endeshwa kama kwa remote na isiyo jitambua kama job ndugai…………...hapa hakuna kumung'unya mameno, makali live!
Huyo Mama ni wa Mwendokasi, ameonyesha kukerwa na dharau aliyooneshwa na trumpet. Trumpet ndivyo alivyo ni mtu ambaye haishiwi vituko. Kwa Demokrasia ya hivyo kwetu hatuitaki kabisa. Demokrasia gani ambayo inatengeneza chuki, dharau na kukosa say ya pamoja.
Ninachoamini ni kwamba Demokrasia nyingi hubomoa Taifa, Kama huamini wewe nenda kamdekeze mtoto wako kupita kiasi.
Na Demokrasia ya Marekani imetengenezwa kulingana na matakwa ya mila na Destuli zao ambazo nitofauti kabisa na za sisi Waafrika.
Tunawatakia kila la heri na Demokrasia zao cc na China tunapiga kazi.
 
Hawa wote ni maspika wa mabunge yao.

Nachelea kusema Ndugai hawezi kuvaa viatu vya mwanamama Pelosi kwa umahiri na ushujaa wa kusimamia maslahi ya Taifa bungeni.

Inaonesha jinsi Separation of Power ilivyo na nguvu. Hakuna taasisi iliyo na nguvu dhidi ya taasisi nyingine.

Mambo yanayoendelea bunge la sasa la Tz ni aibu. Kuna wakati unatamani hata usiwe mtanzania kwa hoja na maazimio yasiyo na vichwa wala miguu.

Marehemu Sitta alijitahidi kuweka uzani sawa kama Spika wa Bunge. Huyu wa sasa ni kihoja.

Changamoto kwenu watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vitu gani unavyolinganisha na kutumia criteria zipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Hawawezi kufanya tofauti na waongeacho! Kama mbunge anasimama bungeni anasema mbunge fulani auawe hapo jua kichwani hamna kitu na kwenye kamati huko pia hamna kitu!
 
Bunge la Marekani limeishiwa ajenda, wamekalia kumchokonoa Rais.. Bunge la Tz lina kazi nyingi.. Midahalo au mijadala ni sehemu ndogo tu ya kazi za bunge.. Behind the scene bunge linafanya kazi kubwa hasa kupitia kwenye kamati.
Behind the scene ni kumlamba jiwe miguu na kuangalia namna ya kuwadhibiti wapinzani Bungeni

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom