Nanasi Linapandwa/oteshwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nanasi Linapandwa/oteshwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Utamaduni, Nov 20, 2008.

 1. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Wakuu heshima yenu.

  Naombeni msaada kwa wale wenye kujua tunda hili la nanasi linapandwa au kuoteshwa vipi? maana embe inapandwa mbegu yake (kokwa), chungwa unapanda zile mbegu zake, ndivi najua unapanda machipukia yake yanayozidi kuchipua. lakini sifahamu

  hili zao la nanasi mbegu yake ni nini?

  Msaada plz
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kama ni nanasi hili hili tunalolijua linapandwa hivi;
  Nanasi likisha toa tunda lake halifi,bali huto machipukizi (suckers),haya machipukizi hayatokei chini kama mgomba ufanyavyo bali yanatokea kama matawi kutoka ktk nanasi mama.Lile chipukizi huanza kutoa mizizi hata kabla halijaondolewa toka nanasi mama,lakini mizizi hiyo imefichwa na maganda.

  Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kunyofoa chipukizi toka nanasi mama na kuondoa maganda yanayozuia mizizi isionekane, kisha unapanda ktk udongo kama tunavyopanda miche mingine.

  Nisamehe bure kama nimetoa maelezo yasiyotosheleza swali lako.
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Unalijua nanasi lilivyo likiwa either shambani au sokoni? hebu lielezee ili iwe rahisi kukuelewesha jinsi ya kuliotesha.
   
 4. M

  Mama JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  naona malila keshakujibu.
   
Loading...