Wewe utakuwa ni jini Mahaba unazimikia ajuza!!!!
Mimi juzi alinishushua ila nilipata funzo kwa kupitia hilo shushuo lake!!
mzee wa reverse na front upo? Naona ulipotea, salama huko utokako?
Mi nadhani FF ni mwanaume sio mwanamke, maana mwanamke ni mtu wa heshima aropokoropoki hovyo
Hakuna halau au tende zilizobaki bibie!?
Mwanamme ndio kaumbwa kutokuwa na heshima?
Ni kawaida mwanaume kwa mwanaume kuongea lolote lakini sio mwanamke especially mwanamke mwenyewe akishavaa ushungi kichwani
Mi nadhani FF ni mwanaume sio mwanamke, maana mwanamke ni mtu wa heshima aropokoropoki hovyo
Ushungi unahusiana nini na kuongea?
Nioneshe nilichokukwaza hata unishambulie bila mpango. Unanshangaza! wengi wenu huwa hampendi ukweli na mfumo dume unawafanya muone kuwa wanawake ni watu wa kukaa kimya na hawajui kitu, hiyo inatokana na malezi uliyolelewa nayo.
Wanawake wa Kiislaam tuna rights zetu kwa zaidi ya miaka 1400 leo. Usione ushungi kuwa ni kitu cha ajabu hata ma nun wanauvaa huo, kwanini?