Acha utani afrodenzi! mie pedeshee! Nifagilie basi kwa Lizzy! jamani.
senior citizen, mkuu wa kaya! ahahahahah!! binti nampenda, we mcheki tu alivyotulia!Inaonekana huyu mwanaJF anaishi kwa imagination!
Nikuanzishie upate promo!
Si unajua lazima ajifanye mgumu mgumu, ila nadhani cheusimangala na afrodenzi watanisaidia kumlainisha maana domo langu kidogo lina kokoto nyingi.
afro d hujambo?
jamani kwa nini tu nkutanie dear..
Lizzy ni mdogo wangu kabisa I'm sorry to say hakutaki ..
nimejuaje , kaniambia.. see you later ..
jamani kwa nini tu nkutanie dear..
Lizzy ni mdogo wangu kabisa I'm sorry to say hakutaki ..
nimejuaje , kaniambia.. see you later ..
dah!! Kila la kheri..jaribu bahati yako pm kwa sana tu huwezi jua
jamani kwa nini tu nkutanie dear..
Lizzy ni mdogo wangu kabisa I'm sorry to say hakutaki ..
nimejuaje , kaniambia.. see you later ..
Loh, jamani, mi ni dada yao mkubwa Lizzy na Afrodenzi....Lizzy amesema, anzisha thread nyingine ueleze zaidi kuhusu wewe!
Hahahahaha . . . . Dearest hujatulia wewe.
Ukimlegezea kamba atadhani ndio amepata 'go ahead' dearest. . . . shauri lako. Ngoja aniibe alafu aseme "dadake mkubwa alinikubalia."Ni kweli dearest, kutokutulia ndo sifa yangu kuu.. AD amempa mno kavu kaka wa watu, na unajua suicide rate zinaongezeka kila kukicha, nimeona nitumie tu hekima kumpa walau nafasi ya kutoa sifa zake ili uone....lol
​Naona siku hizi humu JF mambo ni kuzimikiana tu. Mpaka 2012 iishe tutayasoma mengi.
subiri mkuu ni mPM lizzy akuanzishie sticky thread enheee sawa..
Sjambo Saint..
Kuna kitu nataka kukuliza my dear ..
Tukutane basi baadaye .. "ukiwa free"
na inawezekanainawezekana kasha PM sana hadi sent items zake zimejaa kaamua kujiachia hadharani..
Mpotezee huyo. . .