Namzimikia Lizzy wa JF!

kheee eti nini? eboo :shock: 😕
Ninapinga, Lizzy na mimi ni watu tofauti kabisa. Ila sema namzimikia, sema hata wewe ndetichia ungekuwa mrembo ningeweza labda kutupa ndoana yangu kwako,
 
Ninapinga, Lizzy na mimi ni watu tofauti kabisa. Ila sema namzimikia, sema hata wewe ndetichia ungekuwa mrembo ningeweza labda kutupa ndoana yangu kwako,

sasa tatizo na kojoa huku nimesimama ndio tabu sasa..
 
labda anaogopa utamchezea kiduku kama mkuu wa kaya IMO..
Si unajua lazima ajifanye mgumu mgumu, ila nadhani cheusimangala na afrodenzi watanisaidia kumlainisha maana domo langu kidogo lina kokoto nyingi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…