Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Mweleze ukweli utazidi kuchanganyikiwa mwisho wake utakuwa kichaa !
Tasavali nigee mie hidho dhawadi nimpelekee, ujumbe mpe Mamndenyi atafikisha!!
Tulizana.....
Mchelea mwana hulia mwenyewe
mwimbie zeze atazinduka si umemzimikia?
Nimetumia kila njia wap!sijui hata nifanye je
jaman saiv nipo kwenye mkesha JRC Ntakoment kesho! Haleluyah . . .