Namzimia huyu mkaka jamani.............too bad ameoa....!

kwani nina mbwembwe Mzee?? embu tell me?
Sana Pauline, mara ya kwana nilifikiri kuwa labda ulikuwa ni ugeni wa JF lakini nikagundua ndivyo ulivyo. Sina budi kukubaliana na jinsi ulivyo ingawaje huwa sichangii kwa kumremba mtu, hivyo mimi kama kitu nakiona hakifai nakujuza bila chenga.
 
mmmmh haya bwana.........
 
Back
Top Bottom