Namzimia huyu mkaka jamani.............too bad ameoa....!

pauline

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2010
Posts
650
Reaction score
140
:A S 103::A S 103:

sorry sana...lol
 
Last edited by a moderator:
Love has no limit. The same problem 2 me, bt she is married. Tuvumilie!
 
hivi ukioa,unakoma kupenda watu i mean marriage si certificate na ring tu?au iko beyond that?.....nadhani nikiolewa nitaendelea kuflirt na watu nje ...lol:mod:
 
ni kawaida kabisaaa kupenda/kutamani waliooa/kuolewa....ila usivuke mipaka...keep flirting...i enjoy flirting as well!!
 
wacha tu shosti natamani angetulia kwangu jamani,mkewe ana bahati sana..........

mmmhhh nawe ukiwa na wako ukimtunza vizuri tutamtamani....utampata tu wako utasahau...vipi skype mpendwa,umeacha?
 
unazimia nyimbo zake au unamzimia kimapenzi???maana nyimbo za huyu jamaa zipo makini sana
 
mmmhhh nawe ukiwa na wako ukimtunza vizuri tutamtamani....utampata tu wako utasahau...vipi skype mpendwa,umeacha?

nimepotezea michele,mwili wangu hauko attractive,mie ni mnene halafu sina maziwa saa sita hahahahah,(sio confidence isssue ni ukweli i dont like the way i look naked,ningekuwa na mwili kama wale naowaona kny porn ningekuwa na confidence ya kustrip infront of him...huko skype hahahaaaaaaaaaaaa:A S-rose:
 
Toba! naanguka jamani!
 
Ni wewe tu hujiamni Pauline wangu...there is always a means to make yourself look attractive and sexier....maziwa saa sita ya nini Pauline,unafikiri wataacha kuyatamani au kuyanyonya kwa kuwa ni saa kumi hayo yako?never...wewe tu...and fanya some exercise to be the way you wish to be....Its possible if you are willing!! Keep flirting gal and be confident of the way you are and love yourself better!kama mtu kakupenda kakupenda tu hakuna cha sijui saa mbili sijui unene....utakuwa attractive tu kwake yatosha!!
 
halaf aftermath ya flirt unaihandle vipi?, Twende mdogo mdogo niko mbali na gesti hapa.
Kiutu uzima...waga najua nafanya nini na malengo ni nini....so aftermath naimudu....leo inakuwaje uko mbali na gesti? au kuna mtu umemzimia mbali na guest??? manake wewe ukipenda hushikiki,unaenda hadi Samnge kumfuata mtu....l.o.l
 
Ni wewe tu hujiamni Pauline wangu...there is always a means to make yourself look attractive and sexier....maziwa saa sita ya nini Pauline,unafikiri wataacha kuyatamani au kuyanyonya kwa kuwa ni saa kumi hayo yako?never...wewe tu...and fanya some exercise to be the way you wish to be....Its possible if you are willing!! Keep flirting gal and be confident of the way you are and love yourself better!kama mtu kakupenda kakupenda tu hakuna cha sijui saa mbili sijui unene....utakuwa attractive tu kwake yatosha!!

Thanks michelle kwa maneno ya busara....lakini huko mapenzi ya online nahisi ni magumu sababu hamna touching,kissing fondling i think yamebase na purely what you see....mie nahisi kwangu itakuwa ngumu kidogo kufanya lol,bora hayo mengine kama kunyonya anakunyonya sasa kukuangalia tuu pekee itakuwa ngumu labda mtu anipe tips cha kufanya huko.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1🙁anyway nimeshampotezea yule kaka kwangu mie hii kitu imekaa immoral kama kula tigo,mtu akiniomba niende naye online naona kanikosea adabu sijui kwa nini:biggrin1🙂
(
 
Kiutu uzima...waga najua nafanya nini na malengo ni nini....so aftermath naimudu....leo inakuwaje uko mbali na gesti? au kuna mtu umemzimia mbali na guest??? manake wewe ukipenda hushikiki,unaenda hadi Samnge kumfuata mtu....l.o.l
Ujana maji ya moto bana, juzi nilitoka vidonda vya mdomo na nikiangalia nina vitamn c ya kutosha. Hafla usiku nikaota Kondomz zinaongea na mimi halaf kama zinanisuta hivi. Dah! nimeamua kuvikimbia vyanzo vyote vya uasherati inkluding gesti. Sasa naishi sehem flani, kulia kuna mskiti kushoto kuna kanisa.
 
nimepotezea michele,mwili wangu hauko attractive,mie ni mnene halafu sina maziwa saa sita hahahahah,(sio confidence isssue ni ukweli i dont like the way i look naked,ningekuwa na mwili kama wale naowaona kny porn ningekuwa na confidence ya kustrip infront of him...huko skype hahahaaaaaaaaaaaa:A S-rose:

Hii kitu ndo inaharibu akili yako...Umeruhusu pornstars to define you...unahitaji vidonge
 
Back
Top Bottom