Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

Wewe Umemchoka sema Sio kwamba humpendi alichokosea ni kukupa Dudu yake mara nyingi hadi umeichoka

Malipo ni hapa Hapa Duniani Mbinguni ni kuimba Tuuu
 
Mtoa mada ulichoandika kinaakisi maisha yangu kabisa nimepitia hili na mm pia nilisoma nae chuo amenipita 5yrs
Nilijaribu kila njia kumuacha ilishindikana ila kiukweli alinipenda Kwetu anajulikan na baadhi ya ndg na kwasasa nina mtt nae mmoja
Baada ya kukaa na kutafakar sanaa nimeon ni bora mwanamke akupende walau utaishi nasemea hili kwasababu
ijapokuwa ninamapungufu meng lakin ameyabeba na anaakili ya maisha sana
nakushauri kabla ya kufanya maamuzi ya kumuacha jipe muda wa kufikir
Au rafuta demu unayempend kweli alafu ingia naye kwenye mahusiano ndipo utakapo jua kuna tofauti kati ya kupenda na kupendwa
Kila kher bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwahyo mkuu unataka kuniambia huyo mwanamke ndo umemuoa?? au baada ya kuwaza sana ulifikia wapi!
 
Hahahhaha tungependa kupata nusu ya ujuzi wako hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We BWANA SOSI ushauri huu hapa na hii ndo njia pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BWANA SOSI nakuelewa sana,hata mumi ilinikuta hivyo,nilipata mwanamke ananipenda mchapa kazi na kwetu wanamjua ila moyoni mwangu nilikua najua sioi wala sio type yangu,kilichonisaidia aliteleza akacheat nikashindilia hapo hapo,ila kwa sasa ni rafiki yangu na ananipaga michongo ya bizness napata hela akijua tutakua pamoja again ila mm sithubutu kwakua najua sina plan nae sitaki kumharibia maisha wala kuziba rizki kwa watu wanaompenda kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah hio situation ya kucheat nadhani ulishangilia badala ya kuhuzunika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah kumbe tupo wengi!! ngoja na me nasubili chance kama hiyo !
 
Watu wengi humu wamekua wakinibeza kwenye swala la kutofautiana kimo, niwaambie tu hakuna kitu kizuri kama kua comfortable ukiongozana na mkeo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…