Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

annito

annito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Messages
789
Likes
102
Points
60
annito

annito

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2013
789 102 60
Anza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini ahidi kumtafuta ukiwa free, ikipita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.

NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
hawezi kuacha ukaribu nae maana anapata papuchi ya bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
12,614
Likes
35,737
Points
280
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
12,614 35,737 280
Wacha upuuzi tulia nae ndugu yangu, penda unapopendwa, kama umetafuta vijisababu vya kutompenda unaweza pia kutafuta sababu za kumpenda, usijaribu kuumiza hisia zake, kama mimi binafsi ningetulia nae mtu ananijali, ananithamini, ananiheshimu nasaka nini sasa labda nipewe gunia la miiba. Kuna wanawake ni wakuolewa na wapo wa kut0.Mbwa tu, sasa naona mke wa kuoa unataka umfanyie miyeyusho utakuja juta utakapopata wakut0.mbwa kuwa mkeo, kama yamekuingia vyema yafanyie kazi kila la kheri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
695
Likes
502
Points
180
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
695 502 180

Sawa mkuu, mekupata!!!
 
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
573
Likes
581
Points
180
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
573 581 180
Badilisha namba ya simu, potea nenda mbali, halafu tafuta mtu akutangaze kuwa umetekwa na watu wasiojulikana, baada ya miaka 2 rudi, atakuwa amejiongeza. Tubu dhambi zako.
 
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,920
Likes
1,035
Points
280
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,920 1,035 280
Pia hicho kitu nawaza sana mkuu! madem wa sasa hivi %kubwa wapo kimaslahi mno nahofia kutompata kama huyu ambaye ntampenda.
Mmepishana miaka mingapi kama unamwacha na umempotezea mda wake kuna gharama na majuto
 
kanchibay

kanchibay

Senior Member
Joined
Jan 4, 2019
Messages
105
Likes
77
Points
45
kanchibay

kanchibay

Senior Member
Joined Jan 4, 2019
105 77 45
Hakuna raha kama kujaliwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Na hizo ndio dalili hasa kupendwa kwa dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa hilo ndilo alihitajilo mwanaume anaye jitambua, mwanaume mwenye uwezo wa kupambanua mambo kifalisafa zaid(creative thinking, nahisi imetumika hapa),

Broh sijui una miaka mingapi, ila kiufupi ungalikua karibu ningali kuhitaji uagizie kinywaji chochote ukipendacho ningelipa,

Nikwasababu umetoa hoja za kistaarabu na busara kabisa, safi sana kabisa maana nimefuatilia replays zako hii ya pili na nime notce kitu cha utofauti, iwapo kijana huyu hajakuelewa basi atakua ni mvulana, kama sio mvulana basi ana tatizo la mob psychology kutoka kwa marafiki uchwara√√

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Messages
3,728
Likes
1,427
Points
280
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2014
3,728 1,427 280
Usikae na mtu kipindi kirefu kama hautaki kumuoa
 
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
695
Likes
502
Points
180
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
695 502 180
Haswaa hilo ndilo alihitajilo mwanaume anaye jitambua, mwanaume mwenye uwezo wa kupambanua mambo kifalisafa zaid(creative thinking, nahisi imetumika hapa),

Broh sijui una miaka mingapi, ila kiufupi ungalikua karibu ningali kuhitaji uagizie kinywaji chochote ukipendacho ningelipa,

Nikwasababu umetoa hoja za kistaarabu na busara kabisa, safi sana kabisa maana nimefuatilia replays zako hii ya pili na nime notce kitu cha utofauti, iwapo kijana huyu hajakuelewa basi atakua ni mvulana, kama sio mvulana basi ana tatizo la mob psychology kutoka kwa marafiki uchwara√√

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuelewa mkuu, nimeelewa ni nini cha kufanya that's why nimetulia tu nasoma replays za wenye nia njema na wanoleta utan kwenye kitu serious.
 
Forum statistics

Threads 1,262,389
Members 485,568
Posts 30,121,769